Kilichonikuta jana kwa rafiki yangu

Kilichonikuta jana kwa rafiki yangu

kambagasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
2,271
Reaction score
1,810
Baada ya mihagaiko ya kutwa nzima jana rafiki mmoja alinikuta nikiwa nafunga kijibanda changu na tukaanza story baadae nikamwambia mimi nataka nikapumzike nyumbani hivyo tukaanza kutembea kuelekea kwenye familia zetu.

Nilipofikia sehemu ambayo ni nyumba yake akanikomalia nipite kwake kuwasalimia shemeji na watoto wake japo dakika moja!!

Nami nikakubali pasipo kujua nini kinaendelea. Nimefika pale nikakaa baadae shemeji yangu akafika nikamsalimia na watoto pia.

Baadae rafiki yangu akauliza kama chakula kipo tayari kiletwe tule pamoja!! Kumbe palikuwa na vurugu mechi na aliniomba nipite pale ili shemu aone aibu soo lipoe.

Alipoomba chakula mwanamke alikuja juu na kumuuliza: hao wanawake wako wa Badoo hawajakupikia?

Jamaa nae kuona amedharirishwa akaja juu ili kutoa kichapo na nikamtoa nje hadi kwangu ambapo alikiri kufumaniwa akichati na mwanamke katika badoo na akaomba msamaha kwa mke wake.

Kumbe mke alikuwa bado na hasira. Usiku huo huo na mimi yasije nikuta nime unstall app ya Badoo kwenye Tecno P5 yangu.
 
mbona mna exeggerate mmbo ya badoo siku hizi? ina maana facebook na tagged zimekufa, maana huko nako ni balaa..
 
Baada ya mihagaiko ya kutwa nzima jana rafiki mmoja alinikuta nikiwa nafunga kijibanda changu na tukaanza story baadae nikamwambia mimi nataka nikapumzike nyumbani hivyo tukaanza kutembea kuelekea kwenye familia zetu.

Nilipofikia sehemu ambayo ni nyumba yake akanikomalia nipite kwake kuwasalimia shemeji na watoto wake japo dakika moja!!

Nami nikakubali pasipo kujua nini kinaendelea. Nimefika pale nikakaa baadae shemeji yangu akafika nikamsalimia na watoto pia.

Baadae rafiki yangu akauliza kama chakula kipo tayari kiletwe tule pamoja!! Kumbe palikuwa na vurugu mechi na aliniomba nipite pale ili shemu aone aibu soo lipoe.

Alipoomba chakula mwanamke alikuja juu na kumuuliza: hao wanawake wako wa Badoo hawajakupikia?

Jamaa nae kuona amedharirishwa akaja juu ili kutoa kichapo na nikamtoa nje hadi kwangu ambapo alikiri kufumaniwa akichati na mwanamke katika badoo na akaomba msamaha kwa mke wake.

Kumbe mke alikuwa bado na hasira. Usiku huo huo na mimi yasije nikuta nime unstall app ya Badoo kwenye Tecno P5 yangu.

Woga umekuingia manake unaweza kuchapwa wewe.
 
Teh kamkomesha badala akaongee na mkewe anajifanya kutafuta wasindikizaji
 
Ulitaka tujue unamiliki tecno p5 au lengo ni nini hasa?

Kipi kinachokusumbua kama kuna simu za milioni zaidi ya tatu na hii simu ya laki moja kama huna tabia za kishga?
 
Dah Mimi Nimeamua Kujitoa Kabla Atoto Hajagundua... Mtoto Ana Wivu Mpaka Kwashangazi Zangu!!!!
 
ngoja na mimi niinstal hiyo kitu nione kuna nini huko...
 
Nilidhani wanaume hatujadili ya nyumbani kwa watu..?!

Anyway, huwa sielewi mtu anaposema nimejitoa FB kwa sababu kuna mambo ya kitoto, Badoo umalaya, Insta sijui nini. Mtu mzima ana-control mazingira yoyote yanayomzunguka, na sio mazingira kum-control.
Hakuna tabia za mitandao, bali tabia unazo-attract.
 
Kweli mkuu.
 
Baada ya mihagaiko ya kutwa nzima jana rafiki mmoja alinikuta nikiwa nafunga kijibanda changu na tukaanza story baadae nikamwambia mimi nataka nikapumzike nyumbani hivyo tukaanza kutembea kuelekea kwenye familia zetu.

Nilipofikia sehemu ambayo ni nyumba yake akanikomalia nipite kwake kuwasalimia shemeji na watoto wake japo dakika moja!!

Nami nikakubali pasipo kujua nini kinaendelea. Nimefika pale nikakaa baadae shemeji yangu akafika nikamsalimia na watoto pia.

Baadae rafiki yangu akauliza kama chakula kipo tayari kiletwe tule pamoja!! Kumbe palikuwa na vurugu mechi na aliniomba nipite pale ili shemu aone aibu soo lipoe.

Alipoomba chakula mwanamke alikuja juu na kumuuliza: hao wanawake wako wa Badoo hawajakupikia?

Jamaa nae kuona amedharirishwa akaja juu ili kutoa kichapo na nikamtoa nje hadi kwangu ambapo alikiri kufumaniwa akichati na mwanamke katika badoo na akaomba msamaha kwa mke wake.

Kumbe mke alikuwa bado na hasira. Usiku huo huo na mimi yasije nikuta nime unstall app ya Badoo kwenye Tecno P5 yangu.

So, what??? Purely, private business. Hayatuhusu
 
Back
Top Bottom