Mdau mpya MMU

Mdau mpya MMU

Owkey.......wewe ni chungwa au ndizi......?.......
 
Unaumri gani tangu uje chini ya jua!?!
Unasoma wapi?
 
umri 24 yrs old ..mkuu haah nasoma hapahapa Tanzania...

unasoma primary school, secondary school au chuo...!!
na kama ni chuo, college au university, na kama ni college je unasomea uafisa mipango na maendeleo ya vijiji au hotel management and food production...???!
 
Duh!!!

Unataka kumpa ajira ama?

chuo Fundi ....
 
Back
Top Bottom