Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapenzi wawili, mwanamke na mwanaume baada ya kuishi maisha ya dhiki na taabu kwa muda mrefu waliona suluhisho ni kujiua (suicide). Basi wakakubaliana waende kwenye jengo refu la ghorofa halafu...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Nakiri kuna bint Nilimpenda na hta Yy alijua. Alkw kimasom Nairob nami niko Tz. Alipokuja Likizo tulidate,na Mwez mmj baada ya kuondoka alinitaarif ana ujauzito. Sikubisha ila Miiez 3...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mambo vipi wapiga kura wenzangu? kuna manzi mmoja nimemit nae katka mizunguko yangu,huyu manzi anafanya kazi kama bank teller kwenye bank flani ambayo corporate colours zao ni red and blue na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasemekana katika kugegedana kunakuwa na stori mbili tatu ambazo hazina formula lakini zina mpangilio wa maneno na zinaeleweka Tujuzane kidogo ni maongezi ya aina gani makhususi kwa wapenzi pale...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wanaJF Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nimeajiriwa kampuni moja huku Morogoro kuna kitu nashindwa kukielewa kwenye maisha haya ya mapenzi, kwangu mimi naona cha ajabu msichana...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
1/ Awe na elimu angalau Advance level 2/ Umri usiozidi 25 3/ Awe white mwenye mvuto na anayejikubali 4/ /Awe na umbo la kawaida asiwe mnene wala mwembamba 6/ Awe na nidhamu na heshima kwa kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika ch@tting za hapa na pale mwanaume akakuuliza haya maswali mawili ujue mbovu wa...
1 Reactions
72 Replies
17K Views
Wanandoa kulala wakiwa wamevaa night dress kuna uzuri au ubaya gani? Naomba tujadili kwa mitizamo ya aina tatu:- 1. Maadili ya ndoa zetu kama waafrika 2. Kudumisha mahusiano katika ndoa 3...
1 Reactions
84 Replies
21K Views
Natafuta mchumba wa kumuoa,narudia tena natafuta mchumba wa kumuoa kama tukikubaliana,umri usiozidi miaka 22,asiwe mnene na mwembamba sana,kama haupo serious usijaribu kuni Pm,mimi ni mtumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanawake pamoja na kua ni mama zetu,dada zetu na watoto wetu na sifa nyingine nyingi ila kuna moja inayowafanya wa pekee zaidi kuliko sisi wanaume. Wanaume tuna ubinafsi wa kila mwanaume kujiona...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana usiku hapa mabibo hostels, zilipgwa yowe za mwiziii,yowe hzo zlitokea block A, ambalo kwa kawaida ni block linalokaliwa na wasichana, basi sis wanafunzi tulivosikia hzo kelele tukatoka fasta...
10 Reactions
195 Replies
23K Views
Mwaka 2006 nilianza masomo yangu ya diploma pale Marangu TTC.Tukawa tunaendaga stationery moja pale Marangu Mtoni katika shughuli za kiakademic. Na kipindi hiki nlikua na miaka21 na nilikua...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Kabila:lolote umri:18-26 kazi:yoyote ya halali asiwe mfupi sana rangi:yoyote) mawasiliano:ni pm ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Helow wakuu, Mimi ni mwanaume ninaejitegemea natafuta mwanamke kwa ajili ya kufarijiana tu yaan ambaye nikimuhitaji wakati wowote isipokua wa kazini awe tayari awe ana uwezo wa kujitegemea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana Jf Nina rafiki yangu amesalitiwa Mara tano na mpenzi wako tangu 2013 cha ajabu mwanamke anayemsaliti nae kila siku ni huyo huyo. Je, ana mapenzi ya kweli kwa best yangu na je huyo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndugu wa mtandao huu, Msichana wangu ambaye tulipendana kwa muda kiasi ilifika wakati tukaachana ingawa kabla tulikuwa na malengo marefu kuowana. Baada ya siku kadhaa alianza college tokea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani hii sheria iliyoanza kutumika leo kwa kweli imenikosa kosa kidogo sana......story iko hivi......jana nilichepuka kwa mchepuko wangi ambao ni njia kuu ya jamaa flani, sasa baada ya kumaliza...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama ushawai kugombana na girlfriend wako alafu akawa mkali sana wakati una muhoji kuhusu kitengo alichokifanya basi 95% ata kuwa ana kudanganya anakuwa mkali ili kugeuza uongo wake kuwa kweli.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti katika vitu mwanamke anapenda katika mahusiano ni ile hali ya kutoku agree kwa maswala mengi mengi hasa yale ya siasa, michezo na burudani. Watafiti wa mahusiano wanafika mbali na kudai kuwa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…