Swali: Nani ka msaliti mwenzake, mwanamke au mwanaume?

Swali: Nani ka msaliti mwenzake, mwanamke au mwanaume?

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
217
Reaction score
284
Wapenzi wawili, mwanamke na mwanaume baada ya kuishi maisha ya dhiki na taabu kwa muda mrefu waliona suluhisho ni kujiua (suicide).

Basi wakakubaliana waende kwenye jengo refu la ghorofa halafu wakifika juu wajirushe chini.

Wakapanda mpaka juu kabisa, walivyofika juu wakakumbatiana kwa "mara ya mwisho", then wakahesabu Moja.. Mbili.. Tatu! Mwanamke akajirusha!!

Mwanaume hakujirusha muda ule ule, akamuangalia mpenzi wake anavyoenda chini, baada ya sekunde nane, akashangaa kumuona mwanamke wake anafungua PARACHUTE, na kuanza kushuka taratibu.

Je kati ya hawa wawili, ni nani aliyemsaliti mwenzake?
 
ha haaa..mwanaume..method ilikuwa kwa kuruka..ruka ndio ufe..mwenzake karuka, ye hajaruka
 
teh teh..tangu wanawake mtudanganye pale kwenye bustan ya eden tunaishi na nyinyi kwa akili..Mwanaume alishajua plan ya my wife wake ndo mana hakujirusha lol
 
Hivi hakuna mwisho wa copy n paste. Its so frustrating running into the same story 100 times!
 
Ndio ujue mapenzi hayana ukweli na hayana maamuzi mamoja. Mapenzi ni unafiki fulani hivi ambao mnakubaliana mdomoni lakini moyoni kila mmoja anawaza lake. Ukiwachunguza hao sio kwamba waliishiwa kabisa inawezekana kila mmoja ana ki akiba alijifichia. Kwenye mapenzi wote ni wasaliti.
 
Kwanza kuna kitu kinaitwa mapenzi au stori tu? Ukiona unawaza mapenzi ni unafiki ujue hakuna mapenzi sana sana ni kupunguziana nyege tu
 
teh teh..tangu wanawake mtudanganye pale kwenye bustan ya eden tunaishi na nyinyi kwa akili..Mwanaume alishajua plan ya my wife wake ndo mana hakujirusha lol

mamamamae hiki kingereza duh!

my wife wake

@kwa hisani ya bongomovie
 
mwanaume ndo kamsaliti mwenzie. why?
because hakuruka.. na mwanamke alivoona jamaa haruki..akachukua plan B ili arudi wajaribu tena kujirusha:wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink:
 
mwanaume ndo kamsaliti mwenzie. why?
because hakuruka.. na mwanamke alivoona jamaa haruki..akachukua plan B ili arudi wajaribu tena kujirusha:wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink::wink:

Naona wewe unatafuta kuua mtu sasa..huyo mwanamke hafai kabisa.,
 
Back
Top Bottom