Kila ninayempenda sana amenizidi umri

Kila ninayempenda sana amenizidi umri

apologize

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
709
Reaction score
571
Habari wanaJF

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nimeajiriwa kampuni moja huku Morogoro kuna kitu nashindwa kukielewa kwenye maisha haya ya mapenzi, kwangu mimi naona cha ajabu msichana nikitokea kumpenda sana na yeye kunipenda sana nimejikuta wote niliokuwa nao wamenizidi umri na ambao nimewazidi umri huwa hatuna mapenzi tunaishia kuachana na mimi kutafuta mwingine.

Ambapo napata mwengine tena ambao nawajua na tunapendana sana mwisho wa siku najikuta kumbe wote wamenizidi umri.

Wanajamvi hili limekaaje na limenitokea kwa wadada 4 ambao tulipendana sana kwa kipindi tofauti toka nipo shule.
 
hii imekaa kuwa we unapenda kulelewa na unapeda kuongozwa na si kuongoza.... sasa hizo ni tabia za kike mkuu samahani neno kali lakini ukweli,.,..... kwa hyo sasa anza kutongoza waodogo kwako
 
Ukiwaona ni wadogo kimaumbo na huwez kujua kama wamenizid umri,nikiwa nay watu lazma wajue mm ni mkubwa na ki2 kingne unakuta wamenizid mwaka 1 au miwili na tunakuwa tupo kweny mapenz takriban mwez ndo 2naulizana na kujua kumbe wamenizid na wenyew hawana shida kabsa japo wanajua mm ni mdogo kwao na mapenz yanaendelea na niliye nae sasa amenzd miaka 2 na tunapendana sana japo anajua
 
Inawesekana ikawa sio hivo,mimi sipendi kulelewa ila wasichana wangu wote wamenizidi umri japo mimi sio mtu wa kupenda sana ila na enjoy kua nao kuliko wadogo
 
mkuu Apologize, pole sana kaka. Sasa acha kuhangaika na hao bibi vizee, maana mwisho wa siku watakulisha ugoro. Tulia kwa huyu pacha wako Apologise lady ili mpae pamoja. Teh
 
Last edited by a moderator:
Wanakuzid miaka mingap kwan@mbona umr ni namba tuu
 
Ukiwaona ni wadogo kimaumbo na huwez kujua kama wamenizid umri,nikiwa nay watu lazma wajue mm ni mkubwa na ki2 kingne unakuta wamenizid mwaka 1 au miwili na tunakuwa tupo kweny mapenz takriban mwez ndo 2naulizana na kujua kumbe wamenizid na wenyew hawana shida kabsa japo wanajua mm ni mdogo kwao na mapenz yanaendelea na niliye nae sasa amenzd miaka 2 na tunapendana sana japo anajua
kheee basi sawa
 
Unakuwa na mwanamke katika uhusiano baadaa ya miezi miwili ndio unajua ana miaka mingapi?????!!!!!!!!!!!!!!
 
miaka 2 au mmoja

Unajistukia tu. Nishawahi kutoka na manzi 3 years older than i, never felt that number difference. Kati ya faida ya manzi kukuzidi umri ni, less drama. Mara nyingi wanakuwa matured, so wanakupa changamoto pia ya kuwa mbele ya muda wako.
 
Back
Top Bottom