kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Nakiri kuna bint Nilimpenda na hta Yy alijua.
Alkw kimasom Nairob nami niko Tz.
Alipokuja Likizo tulidate,na Mwez mmj baada ya kuondoka alinitaarif ana ujauzito.
Sikubisha ila Miiez 3 baadae alijifungua.
Kwa kuwa nilimpenda toka Ujauzito had kujifungua Nilikw namuhudumia kila kitu.Na hata baada ya kujifungua had Mtoto anafikisha Mwaka mmj bado Nilikuwa nae.
Kuna Wakat tulipotezana kwa Miez kadhaa coz ya majukum ya kikaz.Niliookuja mtafuta nkaambiwa kaenda kuolewa na aliye mzalisha.Japo hakunambia lolote maana n huk huk Kenya.
Lakin miez 6 baadae aliachika kwa talaka akarud Tz na Mwanae.Alinifata na kunililia sana,Nami BADO nilikuw nampenda so Nikawa nae jus kumpa Company.
Baadae nilichukua Uamuz wa kumtafutia kazi ili tu atakacho kipata amsaidie Mwanae.Nashkuru Mola Nilifanikisha na baada ya hpo sikutaka tena Mazoea nae.
Sasa ana Ndoa Yake nami bado Bachala
Wakuu kwa hili nilikuwa sawa ama n Ubwege....