Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia zote nimetumia kwake, mwaka wa tatu sasa bado simuelewi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Frank nzoka, Nov 5, 2011.

 1. F

  Frank nzoka Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni maumivu zaidi ya maumivu but nataka nijivue kwake maana ni miaka mitatu sasa lakini bado sijapata jibu na anamiambia tuwe marafiki tu nami nampenda maana hakuna mwingine ambaye anaweza akanifanya nikamsahau maana kanifanya niwahate wasichana wote.

  Hebu niambieni wadau, nifanyeje na anafahamu nampenda kupita kiasi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  go see a doctor...
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  A witch doctor or a medical dr?
  Mwaya frank endelea kusaga soli, anavyokusumbua ww hata ukijamuoa inshaallah na wengine atawakatalia hivyo hivyo. Muuzize faizafoxy atakuambia!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaaazi kweli kweli...
  Kwani mwanzoni ulikua unawapenda ''ma she'' wote??
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  safi sana, kuna mmoja aliuliza wapo wapi wanawake wanaosema NO. ila miaka 3 michache sana, subiria subiria ikifika saba nitakushauri kitu.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  mbona jibu keshakupa siku nyingi? Si keshakwambia muwe marafiki tu? Ung'ang'anizi wenu ndo unawaponza
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mwaka wa tatu? Tafuta anayekupenda, acha kupoteza muda.
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  utakuwa zoba na wewe,you do the same thing everyday,expecting different result......mnh huyo mdada kaborekaje na wewe.....?
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Miaka mitatu sio mingi sana, wewe kama una uhakika kuwa hana mtu komaa nae tu!! Alafu we nae bana, unawahate ma she wote ili iweje?? Acha kabisa kukariri hizo hisia za kwenye movie!
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Silaha zote umetumia umeshindwa!Hata fweza imedunda!Nakushauri hapo jivue gamba tu mkuu!
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Shukuri Mungu, Pengine ana ngoma hataki kukurest in pic
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  inategemea No kwa nani?
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Huenda ndo tatizo..
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umeona eeh
  Hili jamaa practically ni mshamba.
  Lazima atakuwa analalamika sana.
  And she has spoted that weakness.
   
 15. F

  Frank nzoka Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ok! thank u but ni muda tosha kabisa wa kunipa huo ushauri maana maika saba du! umri wa kwenda shule
   
 16. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  SIlaha imeshindwa kuuwa swala ambaye ni kitoweo, basi tafuta kuku au bata?
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kimbia mkuu, niliwah kukumbwa na situation kama yako, nilikuja kukubaliwa afta 2 yrs na baada ya muda mfupi nikatoswa. Usisumbuke kwa huyo mtu, utajakanwa na usiamini.
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kushindwa hakukosi sababu, inawezekana hana k
   
 19. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu kama mtoto hataki si uachane nae! Ya nn upate tabu?amini wa kwako yupo ipo siku utakutana nae tu.
   
 20. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kijana maana, "asiyekubali kushindwa si mshindani".

  Kisha hakikisha una Tembo Card Master Card, la sivyo kajiandae upya !
   
Loading...