Kuendekeza kupenda

Kuendekeza kupenda

Sinoni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
7,045
Reaction score
12,545
1. Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.
>> Mtu asiyekupenda atakupeleka anavyotaka na wewe utafuata kile anachokitaka Hata bila ya wewe kukipenda! kulazwa kwenye gari na mwenzi wako alale ndani hiyo ni dharau kubwa sana na kilikuwa ni kipimo tosha kuwa huhitajiki & anakutumia kwa malengo fulani.

2. Shujaa amepotea kwenye vita ya mapenzi.
>> Kile ulichokuwa unakisimamia na kukiamini kutokana na upofu wa kupenda waweza jikuta unaangukia pua na kusahau yale yote ya muhimu kwa wakati huo. (mapenzi yapo, na yataendelea kuwepo, ila meli ya mabadiliko ikitoa nanga ndo basi tena)

3. Kilichomkuta kilishawakuta kina Samson & Dellilah pia Adam & Eve.
>>ndg yetu kapotezwa kama walivyopotezwa wale wengine.
(ngoswe Penzi, Kitovu Cha Uzembe)
 
Umemjibu vizuri nenda serena basi kila mtu apate chance ya kukusikia
 
Kuna jamaa alifanya kazi miaka saba ili apate mke, alipomaliza miaka saba akabadilishiwa mke, akapewa mkubwa badala ya mdogo.

Jamaa akaamua apige kazi tena miaka saba ili ampate yule mdogo.

Kweli penzi kitovu cha uzembe...
 
Back
Top Bottom