Mama muuza mkaa na maisha ya kifahari

Mama muuza mkaa na maisha ya kifahari

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,809
Reaction score
140,807
Mkewe alisema anauza mkaa. Mumewe anasema wanashindia mihogo.Ni couple ngapi za wauza mkaa
wanaoshindia mihogo huenda South Africa kwa mapumziko?

Ni familia ngapi za wauza mkaa na washindia mihogo huacha nyumba zao na kwenda kuishi Serena Hotel?Mmeshaona familia ngapi za watu waina hii huweza kuita press conference vyombo karibu vyote vya habari nchini ili kuwapasha wanaoshindana nao ki mitazamo?.

Kwa uongo huu,kabla hujanyooshea wengine vidole jitathmini kwanza wewe
 
Penye ukweli uongo hujitenga, leo nimefuatilia vyombo vya habari bado sana.
Walidhani watabadilisha watu au kupata coverage kubwa kwenye magazeti lakini wapi.
Mungu anampigania sana Lowassa, kama angekua mchafu kama wanavyotaka kutuaminisha basi asingekua hapo alipo hii leo wala kuungwa mkono na Watanzania walio wengi.
 
Huyu mzee ni mnafiki na hatari sana,tayari ameshavuta bil 4 na Lipumba alivuta bil 1,ni mkakati mzito ulioandaliwa siku nyingi sana,whether we kill him or flirt him with money,hatimae hili la pesa limefanikiwa na ameahidiwa kupewa uwaziri mkuu endapo padlocks akishinda,atateuliwa kuwa mbunge then anapewa u pm,anawaita wenzake makapi wakati hata yeye aliitwa kapi na ccm mwaka 1995 baada ya kukatwa na kukimbilia CDM,ni msaliti mwenye historia ya usaliti,aliisaliti vatican,alimsaliti Rose mkewe,akamuoa josephine ambaye naye alimsaliti mumewe,na sasa ameisaliti CDM,atazimika na kupotea kama alivyozimika warid kaburu,zitto kabwe na sasa yeye,Serikali huwa haipati usingizi kila ikifikiria nguvu ya CDM,ilimnunua kaburu,ikamnunua Zitto na sasa imemnunua slaa,safari ya mabadiliko ni ngumu sana imejaa jasho,machozi,usaliti wa kila aina,damu na mauaji ya kishenzi,hakuna mafanikio yaliyonyoka,ni lazima yapite ktk njia yenye miba,milima,kona na mabonde,kuondoka kwa slaa si kuondoka kwa mageuzi,mageuzi yapo pale pale.
 
Mwingine pia alivuta bil12 na kuuza chama
 
Kuna sehemu umekasea kidogo mbunge wa kuteuliwa hawazi kuwa waziri mkuu maana katiba inasema waziri mkuu ni lazima atokane na jimbo .Pamoja na hayo Rais ni Lowasa
 
Penye ukweli uongo hujitenga, leo nimefuatilia vyombo vya habari bado sana.
Walidhani watabadilisha watu au kupata coverage kubwa kwenye magazeti lakini wapi.
Mungu anampigania sana Lowassa, kama angekua mchafu kama wanavyotaka kutuaminisha basi asingekua hapo alipo hii leo wala kuungwa mkono na Watanzania walio wengi.

Yani slaa anajaribu kucheza na akili zetu lkn hafanikiwi watanzania wa sasa c wa mwaka 1995. Mimi ni chadema nibaki kuwa chadema c yeye kashalambishwa asali na ccm . Naomba wana chadema tushikamane tusonge mbele kama kwa wenzetu cuf ilivoimarika baada ya lipumba kuondoke.
 
Huyu muongo ndo alikua mtumishi wa Mungu kwa kusingizia wengine uzushi yeye ni msafi gani wakunyooshea wengine vidole. Aliondoe kwanza boriti kwanza ndo alifikiri atatikisa Ukawa hadi kijijini wanajua kapewa chake na alitaka yeye ndo agombee.
#UkawaMbeleKwaMbele

Mbona umekuwa kimya sana mumy? Nikadhani labda umedanganyika na propaganda za Slaa kumbe bado tuko pamoja?
Hakika mwaka huu watu tumeamua, mabadiliko ndio kitu cha muhimu kuliko vyote kwa sasa.
Atakayekuwa tofauti nasi ni MSALITI!
 
Yani slaa anajaribu kucheza na akili zetu lkn hafanikiwi watanzania wa sasa c wa mwaka 1995. Mimi ni chadema nibaki kuwa chadema c yeye kashalambishwa asali na ccm . Naomba wana chadema tushikamane tusonge mbele kama kwa wenzetu cuf ilivoimarika baada ya lipumba kuondoke.

Kwakweli tunatakiwa kuonesha mfano kama wenzetu CUF wana msimamo sana.
Yeyote atakayedanganyika na propaganda za Slaa sio mwenzetu.
Haiwezekani tupambane miaka yote halafu leo hii tumeikaribia nchi ya ahadi tudanganyike kurudi nyuma.
 
Penye ukweli uongo hujitenga, leo nimefuatilia vyombo vya habari bado sana.
Walidhani watabadilisha watu au kupata coverage kubwa kwenye magazeti lakini wapi.
Mungu anampigania sana Lowassa, kama angekua mchafu kama wanavyotaka kutuaminisha basi asingekua hapo alipo hii leo wala kuungwa mkono na Watanzania walio wengi.
duuuh!!! hapa ndipo ninapo muelewa Lowasa uzuri pale anaposema HAYA MNAYOMPA NI MAHABA NA SIO MAPENZI
 
Kuna sehemu umekasea kidogo mbunge wa kuteuliwa hawazi kuwa waziri mkuu maana katiba inasema waziri mkuu ni lazima atokane na jimbo .Pamoja na hayo Rais ni Lowasa

Kura yangu kwa ukawa kuanzia diwani, mbunge na rais fullstop
 
duuuh!!! hapa ndipo ninapo muelewa Lowasa uzuri pale anaposema HAYA MNAYOMPA NI MAHABA NA SIO MAPENZI

Mkuu ilikuwa niseme kama ulivyosema lakini kwa kuwa umeniwahi niongezee tu Mahaba niue.

Naam nina MAHABA MAZITO kwa Lowassa, kuna tatizo kwani?
Tokeni kabisa JF maana nitazidi kuiunguza mioyo yenu zaidi na zaidi maana kila uchwao MAHABA yangu kwake yanazidi kuongezeka!
 
Muuza mkaa na mla mihogo wanakaa Mbweni Beach JKT kwa matajiri.

jana aliweka wazi kua chama ndio kilimsaidia kupata makazi yake, haswa mwenyekiti bwana mbowe, kwa kauli yake, yeye ni mtoto wa maskini tu.
 
hata hajanishawishi, zaidi zaidi naona kamkomalia mamvi tu na mondrich wakati kama ni ufisadi upo mwingi tu, wamefanya mzee wa watu mbuzi wa shughuli kila mtu anajichukulia nyama, yote kwa yote edo ndo the next!
 
Huyu muongo ndo alikua mtumishi wa Mungu kwa kusingizia wengine uzushi yeye ni msafi gani wakunyooshea wengine vidole. Aliondoe kwanza boriti kwanza ndo alifikiri atatikisa Ukawa hadi kijijini wanajua kapewa chake na alitaka yeye ndo agombee.
#UkawaMbeleKwaMbele

Ndio maana aliasi, huyu ni wakala wa shetani, tena anapepo vurugaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom