Mzee hatari sana hapa Mtaani

Mzee hatari sana hapa Mtaani

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,792
Reaction score
140,709
Wana MMU kama wazee wamekuwa hivi je wajukuu na vijana itakuwaje...Kuna mzee mmoja hapa mtaani
kwetu ni mtu hatari sana!
Aliambiwa achague kati ya
Mungu na demu akachagua
demu.Akaambiwa achague kati
ya PESA na MABADILIKO mzee
fasta kachagua pesa!Duh
 
Duuuh!....noma, huenda hayo mapenz amejulia ukubwani.
 
Huyo Mzee atakuwa ana kiu balaaa
 
Hayatuhusu hayo! Tupo bize na kuhakikisha Magufuli anaingia magogoni.
 
Sasa uhatari wake nini jaman, anafanya yake nawewe fanya yako
 
Wana MMU kama wazee wamekuwa hivi je wajukuu na vijana itakuwaje...Kuna mzee mmoja hapa mtaani
kwetu ni mtu hatari sana!
Aliambiwa achague kati ya
Mungu na demu akachagua
demu.Akaambiwa achague kati
ya PESA na MABADILIKO mzee
fasta kachagua pesa!
Duh

Kama Mbowe...?!!
 
Wapo wengi ao wala siwezi shangaa,
Tafuta pesa kijana acha kufatilia ya watu
 
Back
Top Bottom