Before Mr Ibu died:
▪️first wife divorced him & took away his savings
▪️Second wife accused him of sleeping with daughter
▪️Consequently, he suffered diabetes
▪️Had blood clotting & dead blood...
Za asubuhi
Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae...
wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au...
Wakati naingia chuo kikuu 2007 niliaswa sana kuwa makini na ngono chuoni kutokana na uwepo wa mabinti wanaofadhiliwa na mama Salma Kikwete.
Ilidaiwa kuwa mabinti hawa wapo karibia kila chuo na...
Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha.
Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu...
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio...
Wazee hope mko poa...
Hebu nipeni wazo hapa kuhusu huyu mwanangu (bro) aliyenibeba nakunileta mjini (kunisaidia).
Huyu bro ni mtu ana wife wake ila hawana watoto. Ila wife wake tunaheshmiana...
Wakati ule nasoma chuo kikuu kulikuwa na uvumi kuwa watoto wa kike waishio na matumaini, maarufu kama watoto wa mama Salma walikuwa wamemwagwa vyuoni.
Sasa leo tena nimemsikia konda wa dala dala...
Story short,
I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children.
Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu...
Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike.
Mke akamuuliza meneja wa shamba:
"Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa...
Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja.
Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa...
Aisee wakuu shukrani sana aisee hatimaye yule demu niliyewaomba msaada ya kwamba nataka nimtongoze na niliwaomba mnisaidie mistari jinsi ya kumtongoza aisee nimeweza kumtongoza ila hajanipa jibu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.
Ewe Kijana amka ukamtafute wa...
Naamini hili jukwaa a JF litadumu sana!
Naamini miaka mia mbele, Bado Mapenzi yataendelea kuwasumbua watu kama ilivyo Sasa kama ni hivyo, hebu tuwashauri na kuwapa taarifa mbalimbali vitukuu...
Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hayana mwongozo ila kwa hili hapana! Mwanamke anakupenda vizuri ila sasa kila muda anataka mchat kana kwamba huna kazi za kufanya, akituma meseji ukawie kujibu...
Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014. Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali. Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza...
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula...
Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.