Kupoteza hisia kwa mpenzi wako inasabishwa na nini?

Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha.

Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu ni kwamba lipo.
Umeweka mazoea ndio maana imepelekea ww kupoteza hisia nione nijipatie Mult macca itakujenga kiakili zaidi kufanya hisia zako kua karibu zaidi na mazoea uache
 
Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha.

Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu ni kwamba lipo.
chenistry haiendani kubali!! Ngono ni chemistry zaidi nishakutana na watoto wazuri lakini ikija kwene ngono hamu sina afu wale sura mbaya shoo had tunavunja kitanda
 
Hii husababishwa na mambo kadhaa:

Mosi, kama ugomvi na kutoelewana hutokea mara kwa mara ktk mahusiano bilashaka hisia za mapenzi zitapotea tu

Pili, kuna tofauti ya kupenda na kutamani,,, tamaa huja kwa mda mfupi na huondoka chap,na mara nyingi ukishakipata ulichokitamani basi hamu yake huisha na kutamani kingine,,,,lakini upendo au ukimpenda mtu kwa dhati basi hali hiyo hudumu siku zote na hata hisia zitaendelea kuwepo daily

Tatu, ukiwa mtu wa mambo mingi, unaweza kukutana na Madam msweet sana anajua kujali, kubembeleza na kukufanya ujisikie uko juu kama mlima Everest sasa hapo lazima huyo mwingine utamuona sio.

Nb: Zinaa mbaya
 
Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha.

Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu ni kwamba lipo.
Kila kitu huwa na malengo, so ikiwa malengo ya hicho kitu hayajafikiwa basi lolote laweza kutokea kwenye hicho kitu.

Ova
 
Nimepoteza hisia kwa mpenzi wangu, nimeshanga siwezi kupiga zaidi ya bao moja wakati kwingine narudi mechi mpaka anasema imetosha.

Mwenyewe uzoefu karibu. Wale wazee waku uliza kama ana tako jibu ni kwamba lipo.
mlete kwangu aje akae boarding miez mi3 tuu........vingnevyo utumie mbilimbi zile chachandu kabla ya kudoo unazionja zikupe appetite🤣
 
Back
Top Bottom