Mambo ya kubagua hapa hayapo,
Kuna kundi letu maalumu linaitwa kundi labwafariji wakuu, yaani mwanamke uwe bonge, uwe mwembamba, uwe mfupi, uwe mrefu, uwe mweusi, uwe mweupe, uwe na miguu kama...
Naposema mwanaume ukiwa handsome, namaanisha mwanaume ukiwa na sura nzuri ya kiume, mrefu, na mvuto kama wote, asilimia kubwa ya wadada utakaowatongoza hawatakuomba hela muda mfupi baada ya ww...
Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo!
Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali...
Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali...
NDIYO:
Sio uongo wanawake wengi hawapendi waliowaoa Bali wanafurahia tu kitendo Cha kuolewa na kugawana Mali.
Kwa mwendo huu matatizo hayawezi kuisha.
Angalia tu mwenyewe we angalia tu:
✓ Pep...
Nimeshuhudia ndoa nne za gharama (nilizochanga Mimi) ndani ya miezi 6_9, tatu kati ya hizo zikipumulia Mashine Huku moja iliyodumu kwa Mwezi mmoja (siku ya harusi kamati ilimpa zawadi ya million...
Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana.
Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano...
Wasalaam JF,
Tafadhari wadau swali hilo hapo juu. kwanini hawa mabinti hawana noma kunyanduana, na haoni shida kukuchunia kama akiomba lake usimpomjibu na haijalishi una shoo shoo kali wala nini...
Habari wana JF.
Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men...
Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+
Huyu wa mwanamke wa 1998...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hii topic naiongea kila siku mpaka mtaona niko obsessed na haya mambo ila mkiona naongea ujue huku kishanukaaa. Same old story, same old shit ila...
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke...
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe...
Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini?
Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na...
Nimeona sehemu nyingi watu wanaongelea ongezeko la single mothers wanasahau mtoto n wa baba na mama leo nawaletea uzi maalum kuhusu single fathers
Kuna single fathers wengi kuna aliefiwa na mkewe...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana
Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu
Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.