Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,690
Before Mr Ibu died:

▪️first wife divorced him & took away his savings
▪️Second wife accused him of sleeping with daughter
▪️Consequently, he suffered diabetes
▪️Had blood clotting & dead blood vessels in leg
▪️His daughter squandered monies meant for his surgery
▪️His wife still asked for iPhone 15 while he was dying
▪️He sold almost all his properties
▪️His leg was eventually amputated
▪️Finally, he dies abandoned with no wife, no properties, no money and no legs.


_20240303_091903.JPG
 
(1) Mke wake wa kwanza kadai talaka na kuchukua akiba zake zote

(2) Mke wake wa pili kasema jamaa analala na mtoto wake

(3) Ghafla akaugua kisukari

(4) Damu ikaanza kuganda kwenye miguu sababu ya chanjo ya korona

(5) Mtoto wake wa kike akatumia hela zote zilizobaki kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matrako

(6) Mke wake mwingine aliendelea kudai iPhone 15 wakati mwamba mgonjwa

(7) Ameuza mali zake zote ajitibu na kuhudumia familia

(8) Akakatwa mguu ili aendelee kuishi

(9) Leo amefariki na ametengwa bila mke, bila watoto, bila mali, bila hela & bila mguu

(10) Miaka yote ya kujitafuta imeharibiwa na wanawake

(11) Huwezi kunielewa kwa sababu unatumia fluoride, huwezi kunielewa mpaka vikutokee

(12) Niliwahi kuajiriwa na baba mmoja huko maeneo ya Sinza. Ana mali nyingi sana na pesa za kutosha. Aliishi na mwanae wa kiume, housegirl na mimi. Niliwahi kumuuliza kuwa hajafikiria kuoa? Alichonijibu ni eti kakimbia nyumba yake pale Oestabay, kaacha kila kitu, mke na watoto wake wa kike ili ajitafutie maisha yake mwenyewe asije akafa angali mdogo. Alichobebelea ni mwanae wa kiume tu wa kipekee ambaye ndiye nilisaidizana naye kwenye majukumu ya yule mzee kabla hajafanyiziwa kitu kibaya kilichopelekea mimi kutembeza lasta mtaani sasa

Nahisi nimeeleweka. Wacha niwaache na kapicha ka mchekeshaji wetu bora wa Africa
IMG_20240303_095804.jpg
 
Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
 
Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
Na huku kwetu mtwara si ndio wanawake hawahawa wa kiislamu wanaotelekeza waume zao? Mpaka inafikia hatua wanaume wa pwani wanatamani sana kuoa mabinti wa kikristo wa kibena na kikinga?
 
Na huku kwetu mtwara si ndio wanawake hawahawa wa kiislamu wanaotelekeza waume zao? Mpaka inafikia hatua wanaume wa pwani wanatamani sana kuoa mabinti wa kikristo wa kibena na kikinga?
Si lazima kuwa kwa sababu huyu mzee alioa mke mwema wa kiislamu basi wanawake wa kiislamu ni wema. Kwanini mnaassume maisha ni kama mti kuwa yapo fixed sehemu moja tu?
 
Mbona jambo la kawaida kabisa hilo? Mke wa kaka yako akiwa katili ni lazima na mke wa baba yako awe katili? Yakikukuta wewe haimaanishi mwingine lazima yatamkuta. Hapo ulipo hakuna mwanamke mwema wa kumtazama ukajua hili?
Mkuu, ngoja niibookmark hii post yako kabisaaaa. Siku ukileta uzi wa kulia lia hapa, itajua hujui. Kumbuka sisi ni pipo mkuu
 
Back
Top Bottom