Uwepo wa mabinti wa Mama Salma Kikwete vyuoni ilikuwa danganya toto?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,778
Wakati naingia chuo kikuu 2007 niliaswa sana kuwa makini na ngono chuoni kutokana na uwepo wa mabinti wanaofadhiliwa na mama Salma Kikwete.

Ilidaiwa kuwa mabinti hawa wapo karibia kila chuo na ni waathirika wa ugonjwa hatari wa UKIMWI hivyo mama kwa huruma yake na WAMA wakaona wawaendeleze kielimu

Nikawa muoga sana,tena baadhi ya mabinti wakawa branded kabisa kwamba "Aaah yule ni wa mama Salma yule".............

Ndio ikawa utaratibu,.....mda ukapita mpaka nikamaliza 2010 sikuwahi kufikiria tofauti.

Lakini mwaka juzi nikaanza kufikiria tofauti kwamba uko uwezekano hii ilikuwa janja janja ya kutupunguzia kasi ya ngono zembe....

Nini maoni yako
 
Acha kujidanganya ....SAUTI UNIVERSITY TAWI LAAAA...MARA MWAKA FULAN WALIMWAGA WATOTO MIAAAA .

MAPINI BALAAAA ,,ALAFU WANAHELA KICHIZIII ,,WANAPATA BUMU NABADO WANAPEWA PESA ZA UFADHILI..

STORI IPO IVI. ,, mwanangu mmoja akachaguliwa soma ualimu chuon pale ,,, jamaaa akapata mtoto ,,kwanza ,,alikua amepanga nyumba nzima after all alikua na kirava 4 .... Jamaa akaona hayo ndo maaisha ...ofcoz alimpenda sana Dogo ..

Sikh moja akaenda kwadogo ,,anakuta Dogo anaoga ,, kukaa sebulen shabashiiii ndo anakuta kopo Lina ARV....jamaaa akazimia pale pale ,,, Dogo anatoka bafun anakuta jamaa kazimia ,,peleka hospital ,,, jamaa akazinduka ,, kila akitajiwa jina LA alomleta akawa anazimia ,,jamaa alikua anazimia kichizi ...hatimaye akamuambia daktar nn tatizo .... Basi daktar akasema ampime daaaahhh jamaaa alikataaa akaona nibora ajiue ,,wakamsihi sana akakataaa ,,, jamaaa kuhofiwa kujiua ,,akatengewa chumba ...jamaa alikaaa kwenye kidespensary cha chuo miezi mitatu BILA kuruhusiwa kwenda nje ,,ndo akaja kupimishwa kwa lazima...Ooohhhh rafiki yupo salama ,...akapimwa zaidi Mara sita yupo negative ..jamaaa haamini...kaitwa dem ...dem akakiri kua ni muathirika na anatumia dawa miaka zaidi ya 18 .
.
Naishia hapo.
 
ilikuwa kweli niliwaona udom kipindi cha babu wa loliondo, kulikuwa na ruti ya udom-loliondo na magari yalikuwa yanajaa
 
kuna wimbo wa Roma 2030 hao watu unaambiwa wapo nenda kacheze peku.....

kipindi cha bungeni dodoma inanuka ngono, spika akiairisha bunge wabunge wanashabikia mgomo
wanadai nyongeza ya posho ili wahonge dada
zetu kuna watoto wa mama salma chuoni usicheze
peku

RPC usitume kikosi chadema wakiandamana
utalipa damu ya mwangosi iringa semeni
amina......
 
Acha kujidanganya ....SAUTI UNIVERSITY TAWI LAAAA...MARA MWAKA FULAN WALIMWAGA WATOTO MIAAAA .

MAPINI BALAAAA ,,ALAFU WANAHELA KICHIZIII ,,WANAPATA BUMU NABADO WANAPEWA PESA ZA UFADHILI..

STORI IPO IVI. ,, mwanangu mmoja akachaguliwa soma ualimu chuon pale ,,, jamaaa akapata mtoto ,,kwanza ,,alikua amepanga nyumba nzima after all alikua na kirava 4 .... Jamaa akaona hayo ndo maaisha ...ofcoz alimpenda sana Dogo ..

Sikh moja akaenda kwadogo ,,anakuta Dogo anaoga ,, kukaa sebulen shabashiiii ndo anakuta kopo Lina ARV....jamaaa akazimia pale pale ,,, Dogo anatoka bafun anakuta jamaa kazimia ,,peleka hospital ,,, jamaa akazinduka ,, kila akitajiwa jina LA alomleta akawa anazimia ,,jamaa alikua anazimia kichizi ...hatimaye akamuambia daktar nn tatizo .... Basi daktar akasema ampime daaaahhh jamaaa alikataaa akaona nibora ajiue ,,wakamsihi sana akakataaa ,,, jamaaa kuhofiwa kujiua ,,akatengewa chumba ...jamaa alikaaa kwenye kidespensary cha chuo miezi mitatu BILA kuruhusiwa kwenda nje ,,ndo akaja kupimishwa kwa lazima...Ooohhhh rafiki yupo salama ,...akapimwa zaidi Mara sita yupo negative ..jamaaa haamini...kaitwa dem ...dem akakiri kua ni muathirika na anatumia dawa miaka zaidi ya 18 .
.
Naishia hapo.
 
Acha kujidanganya ....SAUTI UNIVERSITY TAWI LAAAA...MARA MWAKA FULAN WALIMWAGA WATOTO MIAAAA .

MAPINI BALAAAA ,,ALAFU WANAHELA KICHIZIII ,,WANAPATA BUMU NABADO WANAPEWA PESA ZA UFADHILI..

STORI IPO IVI. ,, mwanangu mmoja akachaguliwa soma ualimu chuon pale ,,, jamaaa akapata mtoto ,,kwanza ,,alikua amepanga nyumba nzima after all alikua na kirava 4 .... Jamaa akaona hayo ndo maaisha ...ofcoz alimpenda sana Dogo ..

Sikh moja akaenda kwadogo ,,anakuta Dogo anaoga ,, kukaa sebulen shabashiiii ndo anakuta kopo Lina ARV....jamaaa akazimia pale pale ,,, Dogo anatoka bafun anakuta jamaa kazimia ,,peleka hospital ,,, jamaa akazinduka ,, kila akitajiwa jina LA alomleta akawa anazimia ,,jamaa alikua anazimia kichizi ...hatimaye akamuambia daktar nn tatizo .... Basi daktar akasema ampime daaaahhh jamaaa alikataaa akaona nibora ajiue ,,wakamsihi sana akakataaa ,,, jamaaa kuhofiwa kujiua ,,akatengewa chumba ...jamaa alikaaa kwenye kidespensary cha chuo miezi mitatu BILA kuruhusiwa kwenda nje ,,ndo akaja kupimishwa kwa lazima...Ooohhhh rafiki yupo salama ,...akapimwa zaidi Mara sita yupo negative ..jamaaa haamini...kaitwa dem ...dem akakiri kua ni muathirika na anatumia dawa miaka zaidi ya 18 .
.
Naishia hapo.
 
Sure mkuu hii tukio huwa nikiwambia watunwanadhan utani ,,, SAUTI YA MWANZA ,MWAKA SITOUTAJA.

ILA JAMAA ALIKUA ANAZIMIA KILA ALIPOTAJIWA JINA LA YULE DEM ,,ILIFIKIA MUDA ,,MARAFIKI WAJAMAA WAKAAMIA PALE DISPENSARY ILI MRADI TU JAMAA ASIPATE MUDA WAKUKAA PEKEEE.

LKN NDO HIVO MBIGU ZILIMUOKOA HAKUA AMEUMIA !!.

NDIO IKAWA SABABU YA WAVULANA WA SAUTO MWAKA HUO KUGOMA KABISA KUMTONGOZA MWANAMKE MZURI PALE CHUONI.

KUNA LECTURE MMOJA ,,, ALIKUA ANAGONGA SANA WATOTO WAKIKE ....HUWEZI AMINI MTOTO MMOJA WA MA SALIMIA ALIAMUA KUMFANYIA MANYAKUZI ,AKAMUUNGUZA KWELI MAMAAAAA JAMAA ALIVOJIKUTAGA KAUMIA ALICHIZI MKUUU...SASA WACHA AANZE KUTEMBEZA NGONOOO......

JAMAN WADADA CHUON WANAUNGUZWA SANA KWA SABABU WANAPENDA KILA SIKU KWENDA SALUNI ..KUVAAA KILA FASHEN .
 
Wakati naingia chuo kikuu 2007 niliaswa sana kuwa makini na ngono chuoni kutokana na uwepo wa mabinti wanaofadhiliwa na mama Salma Kikwete.

Ilidaiwa kuwa mabinti hawa wapo karibia kila chuo na ni waathirika wa ugonjwa hatari wa UKIMWI hivyo mama kwa huruma yake na WAMA wakaona wawaendeleze kielimu

Nikawa muoga sana,tena baadhi ya mabinti wakawa branded kabisa kwamba "Aaah yule ni wa mama Salma yule".............

Ndio ikawa utaratibu,.....mda ukapita mpaka nikamaliza 2010 sikuwahi kufikiria tofauti.

Lakini mwaka juzi nikaanza kufikiria tofauti kwamba uko uwezekano hii ilikuwa janja janja ya kutupunguzia kasi ya ngono zembe....

Nini maoni yako
Yan kumbe ww umekaa tu ukafikiria kuwa haikuwa kweli, me nikadhan umefanya research!
 
Sure mkuu hii tukio huwa nikiwambia watunwanadhan utani ,,, SAUTI YA MWANZA ,MWAKA SITOUTAJA.

ILA JAMAA ALIKUA ANAZIMIA KILA ALIPOTAJIWA JINA LA YULE DEM ,,ILIFIKIA MUDA ,,MARAFIKI WAJAMAA WAKAAMIA PALE DISPENSARY ILI MRADI TU JAMAA ASIPATE MUDA WAKUKAA PEKEEE.

LKN NDO HIVO MBIGU ZILIMUOKOA HAKUA AMEUMIA !!.

NDIO IKAWA SABABU YA WAVULANA WA SAUTO MWAKA HUO KUGOMA KABISA KUMTONGOZA MWANAMKE MZURI PALE CHUONI.

KUNA LECTURE MMOJA ,,, ALIKUA ANAGONGA SANA WATOTO WAKIKE ....HUWEZI AMINI MTOTO MMOJA WA MA SALIMIA ALIAMUA KUMFANYIA MANYAKUZI ,AKAMUUNGUZA KWELI MAMAAAAA JAMAA ALIVOJIKUTAGA KAUMIA ALICHIZI MKUUU...SASA WACHA AANZE KUTEMBEZA NGONOOO......

JAMAN WADADA CHUON WANAUNGUZWA SANA KWA SABABU WANAPENDA KILA SIKU KWENDA SALUNI ..KUVAAA KILA FASHEN .
aisee hyo jamaa kuzimia kila mda nimecheka sana....

Ila kuna watu wauaji aisee,anajua kabisa ameungua ila anakuumguza makusudi,aisee MUNGU atusaidie sana.
 
Acha tuu...ila demu yeye alipoulizwa alisema ivi " ndio nmtumiaji ,,ila nisuala lakawaida tu ambalo yingezungumza akanielewa tu alafu * nilikua nampenda sana *......
 
Mkuu ni kweli walikuwepo, hata Mzumbe walimwagwa balaa na tuliambiwa kabisa waziwazi kuwa Mama Salma kamwaga kontena lake lenye HIV na tulikuwa tu nawajua kabisa.
 
aisee hyo jamaa kuzimia kila mda nimecheka sana....

Ila kuna watu wauaji aisee,anajua kabisa ameungua ila anakuumguza makusudi,aisee MUNGU atusaidie sana.

sa unadhn kuna mtu atakubali kufa peke yke
 
Back
Top Bottom