Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Amekula sana hela zangu. Amepoteza muda wangu Ameniharibia network na baadhi ya watu, Amenitukana sana na kunidharirisha Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu... Na yeye dharau...
7 Reactions
24 Replies
903 Views
Nimesha mdm tayari. Ni Mganda yupo Kampala. # Nilizaliwa kwa ajili ya kufanya starehe. # I am living my life to the fullest
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja...
25 Reactions
282 Replies
9K Views
Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Unataka psychological torture? Ndio utaipata siku hizi hata bila ya kutekwa, naaam wadada wa kileo. Sio wote, ila wengi wao. Vile maisha yalivyozidi kuwa fast na yenye kuchanganya mwanaume...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Signed out
108 Reactions
981 Replies
30K Views
WEWE:👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 BABA YAKO: 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
2 Reactions
4 Replies
374 Views
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani. NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa...
8 Reactions
123 Replies
4K Views
Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa. Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata. Mwanamke wa...
12 Reactions
74 Replies
5K Views
Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻 Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho? Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo? Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wataalamu, Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana. Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya. Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu...
6 Reactions
79 Replies
7K Views
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi" Sasa maisha yamekunyookea umejipata...
25 Reactions
45 Replies
3K Views
Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi. Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem...
18 Reactions
219 Replies
7K Views
Mimi ni msichana pekee na mtoto wa mwisho kwenye familia yangu. Nina kaka zangu wawili ila wamenipita kidogo kiumri na siko karibu nao sana kwa sababu tokea nikiwa mdogo, huwa wananiona kama mtoto...
12 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom