Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aslaam aleykum ! Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia, Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu habari. Huu ni muendelezo wa kile nilichowaambia kinaitwa (Blackmail) Mtaani ninapoishi - huwa nina utamaduni wa kununua vitu vingi vinavyohusu Chakula na kuweka Ndani. Kikawaida Mimi sio...
18 Reactions
40 Replies
3K Views
Kikweli huwa nina enjoy sana hii style inaniruhusu kuuzingira mwili wa mwanamke kwa kiasi kikubwa mwanamke huunganisha mikono yake na yako kwa urahisi ili umchezee matiti, tumbo na kiuno. Ni...
34 Reactions
530 Replies
64K Views
Heeeeeeh....binadamu hukutana milima haikutani. Huyu demu wakati mi nasoma kidato cha 3 nlikuwa nampenda sana.yeye alikuwa kidato cha 4. Basi ikawa alitoka shule mi nasimama getini jioni anarudi...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari waungwana, Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo. Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana...
173 Reactions
237 Replies
51K Views
Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu. Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua . Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata . Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza...
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Jamani mpenzi wangu baada ya kukaa kimya leo asubuhi kanicheki na kuniomba radhi na kusema kuwa sem hakuwa nay dada yake alimuazima ili aende kupiga picha kwenye shughuli ndio maana alikuwa kimya...
7 Reactions
11 Replies
700 Views
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake. Nicheki...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
1. Mommy Types Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia...
6 Reactions
22 Replies
15K Views
Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Namtafuta mdada ambae. Tutakua nae kwenye mahusiano ya long distance. Mimi ntakua namtimizia mahitaji yake, (pesa) Nae atakua natimiza mahitaji yangu Chart, calls, video calls Kigezo : awe na...
17 Reactions
180 Replies
7K Views
Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa...
48 Reactions
252 Replies
17K Views
  • Closed
Hii ni mada ya chakula cha usiku kwa wakubwa, kama hupendi mambo hayo usifungue huu uzi...
17 Reactions
324 Replies
9K Views
Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari ya weekend,,. Vipi mmeshatoka jumuiya??,,Na bahasha za pasaka vipi mlisharudisha wote au kunaa wengine bado mnazo ndani?😃,. Leo buana mama aliniomba tusaidizane kupanga vitu chumbani...
25 Reactions
135 Replies
4K Views
Dah! Yaani hata sielewi... Kuna huyo mwanamke tulitokea kupendana sana. Previous (Early 2023), alikuwa jirani tu wa kawaida, ila kuna kipindi mipango yangu ilikwenda mrama sana, nikasumbuliwa na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Umekutana na mwanamke umeomba namba umepewa, unamcheki anakuwa mzito ila umemtumia vipesa kawa mwepesi kama nyoya Mwanamke huyo mkikutana hana utofauti na wa kununua, ukitosheka na huduma chapa...
3 Reactions
2 Replies
373 Views
Back
Top Bottom