Sijui nimwambie au nimkaushie mchizi wangu?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Wazee hope mko poa...

Hebu nipeni wazo hapa kuhusu huyu mwanangu (bro) aliyenibeba nakunileta mjini (kunisaidia).

Huyu bro ni mtu ana wife wake ila hawana watoto. Ila wife wake tunaheshmiana saana na ananipenda saana tena namwitaga dada shemeji kwakua ni wanyumbani.

Sasa huyu brother huku kweny mishe zetu kajitambulisha kama bachelor yaani hajaoa. Hivyo anafanya ili kunasa mabinti wapya sehemu ngeni.

Sasa kamnasa kabinti kalicho zaliwa 2000s... aiseh binti anamfanya jamaa afanye drama za kitoto mpaka anazingua yaani anakera, analazimisha drama ili demu ampende kwa sababu anajua demu anawashkaji wengine anapita nao.

Jamaa (bro) anajipa wajibu ka hana mke kweli tena anaenda mbali anasema bora anagekua muislam angeoa wake wawili.

Nimemueleza aache apunguze wapi.

Sasa yule (shem kabint) alishaniambia kanielewa ila anahofu na jamaa ataumia sana... nikapoteza
nikamweleza mshakaji aku amini akaniambia kwa mahaba anayompe mi siwezi mpata yule demu na najulikana mimi ni mwakitombelee

Leo demu wake kanifuata akaniambia kwanini mshkaji wangu amemganda hivo wakati yeye hajamuweka moyoni?

Anatamani jamaa amuelewe ila jamaa kakaza hivyo anataka anipe nimle mimi nimmiliki mmi

Sasa hii itakua poa kweli?
Yaani mimi kila demu wa mchizi wangu lazima wanielewe na kunitaka? Sijui shida nini?

Note: brother ashawahi kunisaidia nimuache demu wangu kwakumpiga tukio ambalo jamaa alifanikwa kumla kwakua nikapata sababu
Sijui nyota gani hii?😔😔😔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom