Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Ni vyema ukaishi kwa kufanya uchunguzi basi kama si utafiti! Katika maisha ya ndoa imedhirika wazi kuwa wanawake wanaodumu kwenye ndoa , kwa maana ya kuvumilia mateso ya ndoa ni wale wenye tabia...
3 Reactions
46 Replies
14K Views
Girl and Boy talking on the phone* Girl: what ? why did you call ? it's midnight .. Boy: babe., i have to tell you something..important Girl: so, why in this kind of time ? there's still...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baaada ya kutoka katika pilikapilika za maisha mwanaume unaanza kumsimulia mke wako kuwa mke wangu nasikia kuwa beka kipara kashatembea na wanawake wote hapa mtaani kasoro mmoja tu mke! Mmmm...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
HI
Umekuwa FARAJA YANGU mara nyingi ,'*,"*,*''*', ''*"*,'*','*',* \______/ Pokea kapu lililojaa maombi 7. 1.Mungu akupe neema ya kuishi milele. 2.Akukinge na mabaya yote yanayo...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
...demu kuogopa panya wakati ana pussy... ...kununua kiberiti na kujaribu kama njiti zote zinawaka... ...kusmile wakati unapigwa x-ray...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jukwaa... Ni muda sasa nimekuwa nikiliona hili hasa kwatu wanaonizunguka katika jamii ninayoishi, na kwa kweli limekuwa linanipa shida sana na nashindwa kuelewa kuwa ni wapi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unapotembea sehemu mbalimbali utagundua kuwa kila nyumba nzuri yenye thamani imezungushiwa uzio, na uzio unaendana na thamani ya nyumba na vilivyomo. Utakuta nyingine uzio mrefu huwezi hata kuona...
13 Reactions
41 Replies
5K Views
Wewe uliyeko kwenye mahusiano usipuuzie ishara yoyote ambayo inaashiria hatari ya baadaye. Je, unaamani na furaha ya kutosha? Ukikaa peke yako na kufikiria maisha na mchumba wako unachangamka moyo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba nitoe duku duku langu leo kuhusu kina dada ktk suala la simu!!! kila dada ninayetaka kuanza nae mahusiano anamajibu yafuatayo kuhusu simu yake- 1. simu yangu mbovu iko kwa fundi...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Miaka 10 iliyopita niliowa mke na nikazaa nae watoto wawili lakini baadae nikaachana nae, yeye akarudi kijiji kwao na kwa bahati akaolewa na mume mwingine na mimi nikaowa mke mweingine, mwaka jana...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Griiiiiii,griiiiiiii!Nashtushwa na mlio wa simu ya mezani inayoita kwa Fujo,naangalia Muda ni saa nane na dakika 17 usiku. Najiuliza Huyu atakuwa nani usiku huu!nikakumbuka wakati naingia kulala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MARIA Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi unaodaiwa kugombea mali. Jeshi la Polisi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Utafiti huu unaweza kuleta taharuki kwa wanaume au wanAwake ambao wenzi wao wanafanya kazi maofisini, yaani ambao wameajiriwa. Hii inatokana na madai kwamba, katika kila waajiriwa kumi, saba...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau Hii nimekutana nayo hapa Moshi jioni hii, sasa hivi, kwamba wanaume wenye wapenzi wengi, au wanaojua kutongoza ndio wenye mafanikio katika maisha. Hili linaukweli wowote?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
People,mm ni kjana ambae nimewah kupnd kwa dhati.Nlie kuwa nampnd hakuweza kurudsha upndo wang,nikiwa nazd kumpnd ckumwambia lakn alijua hilo kwan vitendo vyang vilionesha.Tatzo n kwamb nadhan...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
1.Tabia ya uzushi na kuchonganisha watu. Yaani ukiwa na tabia hii wenzio kwenye garage party watakutimua sababu huna vigezo vya kuitwa mwanaume. Mtoto wa kiume kueneza baseless rumours wala...
15 Reactions
115 Replies
12K Views
Jamani wadau hivi hii kitu ni kweli au nadanganywa tu?! Naskia Bukoba katika kila guest houses hata mahotel makubwa eti ukiingia chumbani unakuta godoro limefunikwa na mfuko wa nailon(plastic)...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu kuna rafiki yangu anaitaji msichana wa kuoa mwenye details hizo nikimaanisha awe tasa,mnywa monde kupita kiasi,mcha mungu na awe Hiv free..kama yupo humu naomba aniping nimuunganishe naye...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom