high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,951
- 2,194
Baaada ya kutoka katika pilikapilika za maisha mwanaume unaanza kumsimulia mke wako kuwa mke wangu nasikia kuwa beka kipara kashatembea na wanawake wote hapa mtaani kasoro mmoja tu
mke! Mmmm basi huyo atakuwa mama ngina maana yule ndio anajifanya mgumu hatoki nje ya ndoa
je huyu mama angekuwa mkeo ungefanyaje kwa majibu haya
mke! Mmmm basi huyo atakuwa mama ngina maana yule ndio anajifanya mgumu hatoki nje ya ndoa
je huyu mama angekuwa mkeo ungefanyaje kwa majibu haya