Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu, Poleni na majukumu pamoja na pilika za siasa. Mimi ni mama mwenye mume na familia kiumri ni miaka 38. Ni mfatiliaji mzuri wa habari za huku leo nami nineona niwape ya kwangu. Kifupi...
4 Reactions
103 Replies
13K Views
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi. Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Dini, kabila lako na unayemtafuta pia umri njoo pm tuongee
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Ndugu zangu katika ulimwengu wa Mahaba, Hivi karibuni nilipata fursa kwenda nchini Afrika Kusini katika kulisaka tonge na kufaudu maisha. Basi kama mnavyojua kwa wale wenzangu tunaosafari sana...
1 Reactions
1K Replies
189K Views
Namuhudumia kwa kila kitu lakini wasichana wa kichaga kwanini hamridhiki.unatoa penzi kwa kila mwanaume unayemuona jamani.Najuuta kupenda kaskazini
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa kiume, umri 30yrs. Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nimedumu nae mwaka na nusu. Alikuwa chuo anamaliza mwakani mwez wa tano. Sasa tulikuwa tumepanga kuona mwezi wa nane lakini...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Mahausigeli wanaopandisha mashetani wanavituko kweli, Juzi wa kwetu amepandisha mashetani na kuvua nguo zote na kubaki uchi eti jini lake halitaki aolewe wakati yeye mwenyewe alidai ana mchumba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau kuna jambo linaniumiza akili sana, Kuna mdada nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, pamoja na mapungufu aliyonayo (hasa kuwa na mtoto na mwanaume mwingine) niliamua kuwa naye...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Hii ndio hali halisi kiwango cha wanandoa wanaochepuka kimekuwa kikiongezeka kila kukicha.Hivi inakuwaje mtu anamkewake au mme wake lakini bado anachepuka.Chanzo ninini.Kwakeli inasikitisha sana...
2 Reactions
71 Replies
12K Views
Mtaalamu Gardner leo akiwa live redioni aliwauliza hilo swali wasikilizaji wake wa E-FM Radio katika kipindi cha Ubaoni. Je, kama angekuuliza wewe ungejibuje? Karibu tafadhali..
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Hebu fikiria dereva anayeendesha gari, pale kwenye dashboard kuna mishale mitatu muhimu ambayo dereva lazima aviangalie tena kwa umakini anapoendesha gari. Wa kwanza unaonyesha speed, wa pili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI VIGEZO NIMTAKAE 1.above 28 2.single 3.awe...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hizo vocha ndo mmegoma kutuma sio? Bwana saidieni hizo vocha acheni masihara imenibdi...
23 Reactions
74 Replies
13K Views
Nlikua naongeza post tu. Mtanisamehe sema nna mpango wa kuanza kupost kama Lara1
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Umri wangu ni miaka 45 natafuta mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia 30-36 kwa upande wa uchumi ..maisha yangu ni daraja la kati zaidi najishughurisha na kilimo ..napendelea awe mkristo hasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!
6 Reactions
339 Replies
30K Views
Za saa hizi? Nina rafiki yangu ambaye nilikuwa mshenga wake. Huyu buda amekuja kwangu na kuniomba maoni kwa kuwa mke wake wa ndoa amemwambia aoe mke wa pili! Nilimdadisi kujua kisa na sababu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi, Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Eti kwa mfano kuna mrembo unamtongoza, afu yeye hataki lakini kila siku usiku lazima akupigie simu na mtaongea kama masaa matatu hivi, ila ukimkumbushia ombi lako anakataa. Mtu kama huyu anakua...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom