When a man stoops so low- Tabia zisizopendeza kwa mwanaume

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
1.Tabia ya uzushi na kuchonganisha watu. Yaani ukiwa na tabia hii wenzio kwenye garage party watakutimua sababu huna vigezo vya kuitwa mwanaume. Mtoto wa kiume kueneza baseless rumours wala haipendezi.

2.Tabia ya kutojiamini na hivyo kuwa mtu wa mabifu yasiyoeleweka. Mfano unajiita mwanamme na kuna mtu humu JF humjui, hujawahi kumuona, formula ya maisha yake huijui ila you wanna be him so much that it makes you hate him. Chuki binafsi na bifu tuachieni sisi wanawake.

3.Tabia ya kutojitambua kama mwanamme ambae baadae atakuwa mume kisha baba na kichwa cha familia. Lack of sense of responsibility.

4..... ongeza na wewe tabia usiyoipenda kwa wanaume.
 
Kupenda kushinda shinda saloon. Kusikiliza taarabu zile za kupondana. Kusema vimaneno kama hivi'chezea john wewe' pole mwaya'
na mwisho kukimbia majukumu ya kifamilia.
'a man who cant take care his family can,t be a realy man' my godfather don vitto.
 
We nae umekuja kbwabwa bwabwa,mipasho sio mipasho,mJungu sio majungu,agriiiiii wapelekeee shost zako mombasa huku GT tunasubr vitu adimu
 
M gud madam!!!!!!You??!!!

So leo mapema umeamua kupiga za uso au kuna mtu anatingisha antena yako so mawimbi hayashiki hivyo screen chenga tupu!!!!

Aisee leo nimeamua tu tuwekane sawa. Unaonaje ukichangia?
 
Kupenda kushinda shinda saloon. Kusikiliza taarabu zile za kupondana. Kusema vimaneno kama hivi'chezea john wewe' pole mwaya'
na mwisho kukimbia majukumu ya kifamilia.
'a man who cant take care his family can,t be a realy man' my godfather don vitto.
DC umenichekesha sana. Hao wamekaa kipunga zaidi. Lol.
 
Karucee,
Kulikoni mama. Leo umeamkia kwa jirani au? Kama limekuudhi hili limtu, litamkie wazi usiliogope. Tunakujua Karucee huna woga. Au aliondoka ghafla bila cha mchana? Usimseme vibaya atarudi tu
 
Kupenda kushinda shinda saloon. Kusikiliza taarabu zile za kupondana. Kusema vimaneno kama hivi'chezea john wewe' pole mwaya'
na mwisho kukimbia majukumu ya kifamilia.
'a man who cant take care his family can,t be a realy man' my godfather don vitto.

"Unapokuwa na nguvu ukaishia kujitamba na kutishia wengine wakati jamii inayokuzunguka hususan familia yako haioni faida ya nguvu hizo basi jiulize juu ya uanaume wako"; ha ua haa nguvu ya mwanaume wa kweli huanza kufaidisha familia yake kabla wengine hawajajua kuwa huyu ana nguvu!!!!!!!! (Don Clericuzio)

cc Karucee
 
Last edited by a moderator:
We nae umekuja kbwabwa bwabwa,mipasho sio mipasho,mJungu sio majungu,agriiiiii wapelekeee shost zako mombasa huku GT tunasubr vitu adimu

Ujumbe ushaupata. Umbea uacheeee.
 
Nawale wanaona wake za watu wakaanza kusema yule jamaa anamuachia mkewe sana uhuru,jamaa falaa yulee kumbe yeye ndio zuzu wamwisho wake anaigawa kama pipi,au jamaa yule hana mpango wowote msiomuone vile sifa tuu,wacheni mambo yakike wanaume wengine kuweni wanaume sio vishume shume.....
 
Much respect. Nimekupendaje!!!!

Back
Top Bottom