MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Griiiiiii,griiiiiiii!Nashtushwa na mlio wa simu ya mezani inayoita kwa Fujo,naangalia Muda ni saa nane na dakika 17 usiku.
Najiuliza Huyu atakuwa nani usiku huu!nikakumbuka wakati naingia kulala hotelini baada ya mafunzo ya Siku ya mwisho sikuwa na miadi na Mtu yoyote.
Naamua kupokea simu,mara nasikia Sauti nzuri tamu ya kike; "hallow!",
Huku nikiwa bado sielewi ni nani na usingizi ukingali machoni, kivivu najibu "hallow, can I know to whom am I speaking to?")l(hallow,naweza kujua naongea na nani?)
Huku sauti yangu ikionyesha Kuwa nilikuwa usingizini!
kwa fikra za haraka nilijua ni mhudumu wa hotel ananiamsha niwahi shuttle (gari inayowahisha wateja airport kutoka hotelini)!
nilijua mhudumu amechanganya namba za vyumba kwani mie ndege yangu ilikuwa ya saa 4.
Nikiwa bado nasubiri jibu la Swali langu nikasikia upande wa pili "are you mr. Rife?" (Wewe ni Bwana rife!?),
bila kuogopa nikajibu "yes iam, but to whom am I speaking to at this hour of the night" (ndio ni mimi,lakini naongea na nani usiku huu?)
"ooh, sorry I had to wake you up at this time, it's just that I wanted to ask you to pass by at my room no A11 first floor at around 06:00 a.m before you live for your flight"! ("Ooh,samahani imenibidi nikuamshe usiku huu, nilikuwa naomba upite chumbani Kwangu hapa saa 12 asubuhi Kabla hujaondoka kwenda kupanda ndege!")
nikamwambia "ok, I will do that" (nitafanya hivyo"),
akajibu "thanks" (Asante)
akakata simu!
nikarudi kulala,
lakini ghafla usingizi wote ukanipaa, nikaanza kuwaza ile simu niliyopokea mpigaji atakuwa ni nani?
nikavuta taswira ya lie sauti nikagundua ni Mtu ninaemfahamu,ingawa Sina ukaribu nae.
Katika kufikiri zaidi nikahisi Sauti hii itakuwa ya IKA binti mrembo mwenye mvuto kutoka Harare!
Nikaamua kutopoteza Muda kufikiri ilihali naweza kumfahamu Mtu huyo kwa kumpigia simu,
nikainuka kitandani na kubofya namba ya chumba alichonitajia 11, mara simu Ikaanza kupita upande wa pili!.......
Itaendelea baadae....,!