Hii ndo tanzania zaidi ya iujuavyo!!

Hii ndo tanzania zaidi ya iujuavyo!!

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180
Jamani wadau hivi hii kitu ni kweli au nadanganywa tu?! Naskia Bukoba katika kila guest houses hata mahotel makubwa eti ukiingia chumbani unakuta godoro limefunikwa na mfuko wa nailon(plastic) kama vile lilivyokuwa jipya then shuka linatandikwa kwa juu yake.Jamaa alienitonya aliniambia sababu yake sasa nataka kuprove iyo sababu ni kweli au kanitia kamba..mwenye ufahamu na hii kitu pllls tiririka....
 
Unataka ku prove JF???

Then what??

Hebu waache dada zangu wa Kihaya wapumue.....
Mara hiki Wahaya leo kile mna nini nyie watu?
Kwani lazima u prove JF?
Hebu acheni zenu ...!!!!!

CC: kyanaKyoMuhaya , KOKUTONA , Bishanga .........
 
Last edited by a moderator:

mmh!! mheshimiwa kwa kauli yako kumbe inaweza ikawa kweli eeh? ebu fafanua vizuri apo sijakupata kiongozi unaposema waache wadada wapumue kwani wanahusika vip na magodoro? maana sielew elewi
 
baba paroko mbona jana hukutoka nje sasa. nlikusubiri sana getini!

CC: kyanaKyoMuhaya ,
KOKUTONA , Bishanga
.........
 
Last edited by a moderator:
mmh!! mheshimiwa kwa kauli yako kumbe inaweza ikawa kweli eeh? ebu fafanua vizuri apo sijakupata kiongozi unaposema waache wadada wapumue kwani wanahusika vip na magodoro? maana sielew elewi

Unajidai hujui ulichokiandika hapa?
Guest zinahusika na nini?

Nimeandika kukuthibitishia kuwa huo ni uzushi na huwezi kuthibitishwa kwasababu ni uzushi ....!!!!!!!!
 
baba paroko mbona jana hukutoka nje sasa. nlikusubiri sana getini!

Halafu wewe acha urongo .......

Mimi nilikaa sana pale kwenye geti hadi kile kibanda cha wale jamaa wanaohusika na kutuma hela kwa simu wakafunga

Nikahamia kwa mangi dukani hadi nae anafunga saa 6 ukawa bado hujaja

Sijui utanilipa nini ili hasira ziishe ...!!!!!!
 
mi mhaya uo niuzush kabisa haya people walisha starabika mapema sana,acha kutupaka tope,inaboa sana
 
Halafu wewe acha urongo .......

Mimi nilikaa sana pale kwenye geti hadi kile kibanda cha wale jamaa wanaohusika na kutuma hela kwa simu wakafunga

Nikahamia kwa mangi dukani hadi nae anafunga saa 6 ukawa bado hujaja

Sijui utanilipa nini ili hasira ziishe ...!!!!!!

kaka mwambie akupe kitu kitamu DEMBA umesikia ulimfanya kaka amuudhi mama jana si sawa na me nipe pesa
 
nenda mwenyewe ukaprove huko kwa sababau hapa jf sijui kama wanaweza kuprove zaidi ya kutoa maelezo

miss chaga ayo ayo maelezo yanatosha tu..asa hata nikienda mwenyewe na nkakuta ni kweli magodoro yapo ivo bado ntakuwa sijaprove sababu ya magodoro hayo kuwa ivo.
 
wewe unahisi ni sababu ya KATERERO ndo jibu unalotaka wewe sasa umeprove .... hahah hah haha haha haha ha
 
Ila kwa thread chache tu nilizozisoma juu nimeanza kupata picha kuwa huenda sikudanganywa,maana nilidhani mi ndo wakwanz kuskia hii kitu kumbe nilikuwa nimechelewa tu kuambiwa....mmmh mara nyingi lisemwalo na watu wengi......
 
Back
Top Bottom