Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wanajamvi, Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Eti kwa mfano kuna mrembo unamtongoza, afu yeye hataki lakini kila siku usiku lazima akupigie simu na mtaongea kama masaa matatu hivi, ila ukimkumbushia ombi lako anakataa. Mtu kama huyu anakua...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Wana MMU habarini za leo, Kuna jambo linanitatiza na kuniumi za nataka kusema lakinia naogopa mlengwa atalipokeaje jambo hilo mmh naogopa kuitwa mbeya mie maana wanawake hatunaga vifua vya...
1 Reactions
138 Replies
12K Views
Huyu rafiki yangu nipo kwake kafiwa na mumewe juzi hapa kijana Wa watu alipata ajali. Alizikwa jumamosi sasa hivi mke anafanya mambo chumbani na boss wake. Niite police au fire? Hiki kifo ni cha...
3 Reactions
104 Replies
12K Views
Kwenye familia mimi mtoto wa kwanza wa kiume nina wadogo zangu wa kiume wawili na madada ambao wameolewa familia yetu naweza sema ilikuwa miongoni mwa familia masikini sana ila kwa juhudi zangu...
7 Reactions
99 Replies
12K Views
Wandugu habarini, Jamani hamna kitu kibaya kama mapenzi ya kulazimisha maana nahisi nateseka sana kuwa na mtu ambaye siendani naye kitabia,maana tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani kabisa...
3 Reactions
71 Replies
9K Views
Ndugu, Natafuta rafiki.Rafiki ambaye tunaweza badilishana uzoefu katika maisha na ikiwezekana maisha yetu yote tuwe pamoja katika kushauriana kuhusu maisha kiujumla.Atakayekuwa tayari anitwangie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Niliapa nitamsomesha kwa gharama yoyote. Sasa Jana nikiwa kazini jioni akaniambia nitumie hiyo ada kwenye Tigo pesa. Kidume nikatuma wakati nikitoka job kila nikimpigia hapatikani nikaamua...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimeoa
5 Reactions
99 Replies
13K Views
Nakerwa sana na ndugu wa mume wakija nyumbani kwangu wanataka wasombe kila wanachokitamani humu ndani kwangu kuanzia masufuria mpaka nguo. Hivi niishi nao vipi hawa viumbe? wenye experience na...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
habar nahtj mwanamke awe mzur na mrembo,model. Elimu from diploma to bachelor degree,age:18-25,awe virgin,mkristo,asiwe mfupi wala mnene. Kabila lolote. Aliye tayar anipm
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Watu Wanajidai Wanapendana Kweli Kweli.Mahaba Yenye Vionjo Vya Kila Aina.Kama Kweli Unampenda Weekend Hii Mpe Simu Yako Akae Nayo Hata Masaa 2.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Unakuta mwanamke ana mpenzi ambaye hata uhakika wa kwamba atamuoa haupo anakwenda kuchora tatuu mkononi et i love fred. Sasa nimekutana na binti mmoja kachora i love fred kwenye mkono wake mimi...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono: 1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na...
23 Reactions
293 Replies
51K Views
Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina itaji mwanamke miaka28 na kuendelea niweze kuzaa nae Mtoto mmoja njoo pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na Mada tajwa! Mm kijana 24 yrs, Bachelor Degree, Sina kazi(mpka mwakani) Hitajio langu..... Mwanmke 30~38 mnene Muislamu kazi yeyote Nahitaji wa kuzaa na kulea nae Mtoto tu..
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao...
1 Reactions
103 Replies
12K Views
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae ndoa awe maji ya kunde au mweupe... Awe msomi wa degree au diploma katika fani hizi ... Engineer,Doctor, Accountant, finance, business Administration...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wana JF. Mimi nilisoma na huyu rafiki yangu shule moja ya kuitwa Ifunda tech, Iringa hiyo. Sasa wakati tuko form three 2011 yeye akagombea uongozi wa library akapata. Sasa ile siku anaenda...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom