mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea