BIBLIA iliposema "Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" MUNGU alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated"...
Natafuta msichana wa kuchati nae awe mkristo awe anakaa Morogoro au Dar elimu kuanzia form 4. Umri awe kuanzia mika 20 hadi 23.
Ani PM nitampa namba ya simu tuwasiliane mimi nipo moja ya chuo...
Mm ni kijana nina umri wa miaka30,ki umbo ni mnene hvyo napendelea wanawake vimodo. Nikiwakumbatia huwa najisikia raha sana. Kama wewe ni modo nipm nikufate nikukumbatie.
Doh! Jamani nilikutana na msichana mrembo sana amepanda hewani ana hips matata kiukweli ndani ni mtaam sana lakini kumbe si uzuri wake halisia nimemshtukia kaongeza figa jamana doh hivi kwanini...
Kuna msichana mmoja hatujawahi kuonana hata siku moja huwa tunawasiliana tu mitandaoni mda tu, Dada kaingia kingi leo kaniambia kuna sehem anaenda atarudi saa 2usiku kisha atakuwepo kwenye hotel...
HII NDIYO ADHABU KUBWA YA MPENZI ANAYEKUSALITI
Wanaume wengi wanapogundua kuwa wapenzi wao wanawasaliti, wanatunisha misuli kuonesha umwamba kwakuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya...
Niliwahi kusoma katika kitabu kimoja kinaitwa"Total loving" ya kwamba watu wengi ni wagumu wa kuelezea hisia zao hasa za kimapenzi kwa wapenzi wao.Kwamba anapenda na hapendi nini na angefurahi...
Nilipata uhamisho mji mwingine kikazi. Kwa kuwa bado nilikuwa mgeni sikuweza kwenda na gari langu.
Hivyo ikabidi nipande daladala. Humo ndani niliketi karibu na mrembo mmoja. Mara akaanza...
***To have regret***
To have regret is to be disappointed with yourself and your choices.
Those who are wise, see their life like stepping stones across a great river.
Everyone misses a stone...
Wadau nimegundua kuna danguro "pori" pale Sinza kwa Remi bei ya kawaida sana kuanzia 5,000/= ila muwe makini na simu zenu na Wallet, usijiloge kunyonya mati.ti huwa wanapaka dawa humo so...
Habar wakuu polen na changamoto za uchaguzi...
Kuna ili suala LA watoto wa kiume kuwa na wivu kwa mama zao endapo wanapo amua kuazisha mahusiano na mwanaume mwingne endapo mume wake kufariki au...
Awe mrembo,awe anajitambua,Elimu kuanzia Kidato cha sita na kuendelea,nahitaji mchumba wa malengo badae ndoa endapo Allah akitufanyia wepesi,Umri 18-22,NB awe Muislam Kwa aliye tayari anaweza...
Za kampeni?
Baada ya kutumia akili ya kuzaliwa, akili ya elimu, ushauri wa mke wangu na ushauri wenu wanajf
Niliamua nikamchukue mtoto wangu niliyemzaa na Mhindi.Kusema kweli, huyo mtoto...
Habari zenu,
Mke wangu aliponiletea mtoto jana, alifanya fujo pia so nikamtuliza na Tsh 45,000. Jioni akanipigia simu kuwa ataendelea kuja kazini ili aniharibie kibarua.
Nishauri cha kufanya.
Ebana amani ya bwana iwe nanyi wote watanganyika wenzangu!Kuna mshikaji wangu kaniomba ushauri,anasema mpenzi wake hapendi kuoga,yani suala la mpenzi wake kuoga ni mpaka wagombane,jamaa anasema...
Amakweli duniani kuna mambo, jana kuna njemba moja ilienda na crew yake ukweni hili kupeleka posa kwa wazazi wa mchumba wake pale maeneo ya tosamaganga Iringa.
Jamaa alijiweka sawa lakini...
Habari,
Nimesikia Redion Times Fm.
Kwamba nowdays vijana wa kitanzania tunakimbia sana majukumu, 30 yrs wengi sana bado tunaishi nyumbani na wazazi na ni wategemezi ni kawaida sana nowdays...
Wadau,
Mimi na mke wangu tuliahidiana endapo mtoto wetu wa kike akianza kuongea na kutaja Mama au baba kila mmoja atamfanyia shoping ya TZS. 600,000.
Mwenzake sasa kilichofanyika huyu mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.