Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.
Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake...
Wadau hili ni la Kweli Kabisa. Mm Binafsi nimelichunguza nimeona Katika Mahusiano Kuna upungufu Kwa Wanawake, Mama na Dada Zetu. Kwanini Mwanaume Hata awe na PHD, awe na Kazi hata ya Uwaziri, awe...
Kwanini wanawake walio wengi (sio wote) wanakubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume walio na huruka ya kulala na wanawake walio tofautitofauti (play-boys) ingawa wanawake hao wakifahamu...
Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe...
Wakuu,
Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu...
Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka huu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nae kipindi anaelekea kazini nami katika mihangaiko yangu. Alionekana kuwa interested nami, nami eventually nikawa interested nae...
Habari wana MMU
Nifuraha yangu nikutane na nyie hapa kushirikiana changamoto za maisha ya kila siku huku duniani.Ni miezi miwili tangu niingie mjini hapa Dar es salaam kwa kazi niliyoomba huku...
hellw wana JF
Kuna msichana ambaye ni miezi kama mi tatu hivi tangu ni sex naye imekuwa shida yaan ameniganda zaidi ya luba mbaka nahisi nitumie njia gani ya kutokuwa naye.
tatizo huyo...
Mdogo wangu ana umri wa kati sasa.Alipokuwa mdogo alidekezwa mno kiasi kufikia kuamini kama vile yeye ndo last born. Lakini baadaye wakaja wadogoze watatu fasta fasta na dogo aliendelea kudeka...
kwa mara nyingine najitokeza hapa...
Natafuta rafiki wa kike ambaye ni mkristo mchaji na mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Asizidi miaka 27, asiwe mfupi. kwa aliye serious anipm ... kuhusu...
Najiuliza sipati jibu. Je Hii kitu janaba ambayo sijui kwa Kiingereza inaitwaje Ina uhusiano gani na mikosi.
Jamaa alitoka kufanya mapenzi gesti, hakuoga, alipofika kwake akajikuta Hana wallet...
Wasalam
Kuna vitu hufikia mahali nashindwa kumshurutisha mtu ikiwa ni pamoja na hili la kiimani, huyu ni mke wangu anadai yeye uchaguzi mkuu ni muhimu kwa sababu it will be once in five years...
Habari zenu wadau,
Nimeshuhudia mambo makubwa tena ya kushangaza sana ikiwa ni pamoja na baba,mama au mlezi kumwambia mwanawe ati ukimpigia Kura chama flani basi huna radhi zangu, si hayo tu...
Yes kuomba Mungu akupe mwenza wa maisha kwa imani yako ni kitu muhimu sana.
Mwanamke mwenzangu umekutana na mkaka yes appearance nzuri,ila usiishie tu hapo ukakubali kuanzisha mahusiano nae...
Nipo nyumbani nimeshajiaandaa na wife anamalizia kujiandaa si mnajua wanawake kitu cha lisaa atafanya masaa matatu.Nampeleka dinner Colloseum na yeye ajisikie yupo ulimwenguni.
Ushauri wanaume...
Ilikuwa majira ya saa nne usiku wakati narejea nyumbani, siku hiyo sikutumia usafiri binafsi nilikuwa sijaenda mbali, lakini kutokana na kukolea story za hapa na pale nilijikuta narejea home muda...
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?
Ngoja nikuambie kitu kijana mwenzangu wa kiume unayetaka kuoa! epuka kumuoa binti anayekujua vizuri kuwa unamaisha mazuri! hata maisha magumu yote mipango mungu!
Kama unajiona unamaisha mazuri...
Habari zenu ndugu zangu wapendwa.
Naendelea na maandalizi ya upadri ila nikijua kuwa ninyi ni sehemu ya waumini wangu napenda kuhoji
mnaufurahia uhusiano na urafiki wenu?
Katika mahusiano...
habari wadau..
ni vizuri tukumbushane 2015 ni mwaka wa mabadiliko..
wimbo wa mabadiliko ndio wimbo wa taifa mwaka huu.. kila mtu anaongelea mabadiliko.. ukawa wanaimba mabadiliko.. ccm na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.