Mama chaudere
Member
- Oct 9, 2015
- 65
- 8
Habari zenu wadau,
Nimeshuhudia mambo makubwa tena ya kushangaza sana ikiwa ni pamoja na baba,mama au mlezi kumwambia mwanawe ati ukimpigia Kura chama flani basi huna radhi zangu, si hayo tu jamii imefika mbli kabisa ikiwa pamoja na mume kumwambia mke ati ukimpigia Kura chama fulani bs hiyo itakuwa ndo talaka yako!
Ndugu zangu kumbuka ewe baba,mama, mume,ndg, Jamaa au rafiki kuwa tutaendelea na majukumu yetu kama kawaida baada ya uchaguzi kama ni kulipia ada za watoto shuleni tutalipa kama kawaida, kama kulipia mchango wa mkeo kujifungulia utalipa weye na mengine yote yanayokuhusu.
NAOMBA TUBADILIKE WANDUGU