Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo vipi wanaume wenzangu? Ebana mpenzi wangu akiumwa huwa anageuka kero jamani,kila akiniona ndo madeko yanazidi,mara anataka kula kitu flani nikimletea anakishka kidogo tu anasema...
0 Reactions
87 Replies
10K Views
BADO NAMTETEA MWANAMKE Bado niko Dodoma, ni bahati nzuri kwamba mchana huu tumekuwa na mjadala kuhusu mwanamke. Bado kuna watu hawamwelewi mwanamke, bado wanamshusha, wanamchukulia tu kama...
12 Reactions
49 Replies
6K Views
Hellow Nahis baadhi ya hawa dada zetu wana 100 ways of exploiting and using men, kwa selfish reasons zao. Juzi Juzi kuna mdada ambae ni classmate wangu nlimtembelea ghetto kwake FOR THE...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mke wangu ana kiburi kweli, na akikosea hataki kukosolewa ana kasirika na kuwa kimyaaa au analia na hajui kuomba msamaha, nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anadai amechoka. Nimejaribu...
2 Reactions
82 Replies
11K Views
Ni wazi kabisa upweke wa muda mrefu,wa kuwa peke yangu umenifanya kufanya hivi muda huu.Ukitaka jua nafanya nn PM me!
0 Reactions
28 Replies
4K Views
“Nilipofika nyumbani usikuule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshikamkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kulachakula kimya akiwa tayari kunisikiliza...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Kama wewe ni girl age 18-35 na unaitaji mahusioni ya kweli na dhati kutoka kwa mwanaume atakayekujari,kupenda na kukupatia matunzo yote muhimu tafadhar ni PM.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TYPES OF HUSBAND 1: BACHELOR HUSBAND Does things on his own without consulting wife. Hangs out a lot with friends more than wife. Not serious about marriage life. 2: ACIDIC HUSBAND Is always...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mimi ni mvulana wa miaka 23, sasa niko chuo namalizia mwaka wa tatu, na natafuta msichana ambaye tutaku pamoja as friends na if God wishes tuwe loers. my qualities: urefu: 150 cm rangi: maji ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekua na visa vingi sana huku mitaani vya mapenzi,watu wanauana,wanajiua wenyewe na wengine wanawekeana visasi kwa sababu ya mapenzi.sasa mnaonaje tukimshauri magufuli pindi akishakabidhiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo humu ndani, same here. Nina umri wa miaka 27 (mwanaume), ni mwanasheria, nimemaliza Mzumbe Chuo Kikuu mwaka 2012 na baadaye kujiunga na mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo mwaka...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari zenu waungwana, Leo naona na mimi niwasanukie hawa wavaa sketi ambao wanajiita kizazi cha doticom.jamani sio kilakitu chakuiga katika mapenzi, wengi wao sikuizi wana fake mambo mengi sana...
7 Reactions
93 Replies
16K Views
Mimi ni single,elimu yangu shahada,sina kazi napatikana Dar umri miaka 28,natafuta mpenzi wa kike,umri miaka kuanzia 23-26, elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo. Kama upo tiari chukua namba...
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Igwe siku hizi nimekuwa mswahili, nikiahidi hiki, shaitwani nae anatia mwili wake mzima maana...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwann tunafunga ndoa? Na n kwa mafundisho ya nan yanayosema mwanaume afunge ndoa ndo aishi na mwanamke? Je kama ni mapokeo tunaweza kubadili.? Kama ni ya Mungu je ni kifungu gan?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Good Afternoon ladies and gentlemen, It is my pleasure to great you this morning and I feel like sharing this with you what’s fills my heart, sorry to those who will see this as nonsense but to...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Mijadala mingi humu ndani imekuwa kuhusu mapungufu ya nguvu za kiume, ila kwangu ni tofauti kwani nimewahi kutana na wanawake kadhaa ambao uchovu wao huwa unaonekana wazi wazi. Unakuta hata...
0 Reactions
66 Replies
18K Views
Mimi ni kijana umri miaka 23, elimu yangu ni ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike mwenye MALENGO na MSIMAMO ambaye tunaweza kubadilishana mawazo, kupanga maisha na baadae MUNGU akijalia tuweze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo. Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA. Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu...
1 Reactions
50 Replies
25K Views
nahitaji mke wa kufunga nae ndoa, awe na umri kati ya miaka 23-28, awe muslim anaemuogopa Mungu, awe anajitambua, anaejua thamani ya ndoa n.k.... niPM utajibiwa haraka NB. kabila yoyote
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Back
Top Bottom