Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tajiri mweusi, Feb 21, 2012.

 1. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
  1. uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe mtulivu
  2. uwe unajiheshimu
  3. unatunza siri
  4. uwe mtu wa matumizi ya wastani
  5. ukiwa umeajiriwa ua umejiajiri nitakupa kipaumbele
  6. Umri usizidi miaka 30
  7. usiwe tayari kuolewa na mtu mwingine baada ya kuzaa mtoto nami.
  ​Kama upo tayari ni pm au nitumie mail kupitia homakali72@gmail.com ukinipa wasifu wako na mawasiliano yako.dirisha wazi kwako
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nice deal.
  hapo no nne maximum sh ngapi kwa mwezi
  no 7 tutaendeleza kwani? si unataka mtoto tu? au inakuweje hapo,more clarifications tafadhali
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  namba 3 imenimix kidogo....ina maana gani...?
  namba 7 hata mimi imenikorofisha......
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  preta hebu subiri kidogo tugawane hii kazi anataka watoto wangapi kwani?
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mtoto mmoja sh ngapi? me nna uzazi wa mapacha? na je mlalo ni mmoja tu kwa ajili ya mimba au unataka kufaidi na kamcheZo?
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  inakuhusu bwana tupishe na mazali yetu aghhhhhh
   
 7. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wastani i mean maisha ya kwaida 300,000 kwa mwezi, kutokuolewa ni kumfanya mtoto apate mazingira mazuri ya kulelewa na mama kuhusu gemu zitakuwa zinaendelea pale zinapohitajika.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kuna bingo hapa Smile.....hebu tufuatilie kwa makini hili swala......

   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nyumba,usafiri bill umeme ,maji dstv nini unaprovide?
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  teh teh wizi mtupu .
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimeweka kambi hapa bwana.kambi popote
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  acha mawivu mkuu tulia
   
 13. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi nahitaji mmoja tu so naona itakuwa siyo riziki. kuhusu matumizi ni yote itategemea na mahitaji kwa wakati huo
   
 14. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasubiri dirisha dogo
  Ila im not cheap lol..na wewe lazima uwe na sifa nizitakazo
  1. good pedigree
  2. good pedigree
  3.good pedigree
   
 15. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  nimetulia boss .
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Dah! Hii kali. Kila la heri bosi
   
 17. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  weewe!
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Mmmh! Hapo mwisho hapo...
   
 19. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimber 3 mke wangu asijue nini kinaendelea btn us number 7 Mtoto anahitaji malezi ya kutosha kutoka kwa mama ningependa uishi pekeyako iliaweze kufaidi matunzo hayo
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kaa pembeni cheki negotiations zikitake place
   
Loading...