Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

LOVE YOU! (NAKUPENDA) Mwezi mmoja baada ya kumaliza elimu yangu ya kidato cha sita 2009 February 12 huko jijini Mwanza nilirejea nyumbani kwetu Mbeya....... Nyumbani kwetu nipakawaida sanaa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Awe jinsia yyt,awe na shughuli anafanya na awe na umri ucopungua miaka 18.mm n mwanaume nko moshi.0713578805
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitwa John naishi Dar natafuta marafiki wa kike wa kuchart nao. Namba yangu ni 0714540040
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, kwa ufupi ni kwamba tangu wazo la kutaka kuoa linijie nakosa mchumba ambaye yupo siriazi na maisha, umri wangu ni miaka 32 nimeona umri unaenda nami nahitaji kuwa na familia...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
kwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ingawa bado tafsiri ya mapenzi inatafsiriwa kwa upana mkubwa lakini bado pia maana ya mapenzi imesahaulika hali inayofanya mapenzi ya siku hizi kuwa ya kudanganyana na uongo huo wengi wanaupenda...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Niko kwenye mahusiano muda sasa, kumbukumbu zangu zina niambia na nina uhakika 100% "sijawai kumtambulisha mpenzi wangu au kumuita mpenzi wangu DEMU " yes DEMU hili jina watu wana lipenda sana...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Sasa hawa watafiti sijui wanasayansi wanapotupeleka ni kutaka tu sasa kutuletea tatizo la Air Pollution hapa bongo, kwani najua vijana wengi sana wa kibongo wanaopenda warembo, Hii formula...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kuna ulazima wowote wa kushare ur past things/shits with your new boyfriend and if yes unadhan ukifanya hvy itakuongezea chochote kama yeye kukupenda zaidi au kukutreat tofaut maana huwa inafikia...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi, Nina msichana mmoja ambaye nilianzisha nae uhusiano toka mda tu, na tukaaminiana sana mpaka tukafikia hatua ya kuahidiana kuoana [kufunga ndoa], na kiukweli tulipendana na...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Naitwa dey niko bukoba natafuta marafiki wa kike wanaopenda sexchat 0676818804
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni nadra sana kumkuta au kuwakuta dada zetu wakununua chupi a.k.a kufuli zao lakini mara nyingi huwa ni wepesi sana kuwakuta wakinunua nguo zao ( viwalo) tena vya kila aina. Tatizo hapa ni nini...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
1. Wajaluo - Mtoto alipelekwa kwa wazee wa familia kukanywa na alipewa kazi nyingi. Adhabu ya viboko ilianza kuwa kali baada ya ukoloni. 2. Warangi - Adhabu ya viboko haikuwa kali. Mara nyingi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu sabuni ya roho anataka kunikalia kichwani wakuu. Kaanza na gambe, sasa amehamia kwenye mbwa, halafu anaweka ngumu vile vitu navyopenda kupita maelezo. Tokea nikiwa mdogo mimi ndio...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Hivi inakuaje mwanaume umeoa alafu hautaki ndugu wa mke waje kukutembelea? Kunatokea na harusi ukweni huendi sherehe huendi unajifanya upo busy au unajifanya haupendi sherehe. Wakati zikitokea...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Wanajamvi, Mi naombeni tujadili hili ni tatizo au ni kitu gani manake kwa siku za karibuni nimetokea kuwatamani wanafunzi wa kike sana kiasi kwamba nikiona mwanafunzi ndani ya uniform...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavosema. Mimi ni mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 29 . Elimu Yangu ni Degree ya IT. Nahitaji binti mrembo akiwa mweupe au mwarabu nitampa upendeleo. Kama unavigezo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Umri wake 22-24 umri wangu kama anamtoto sawa pia awe mtumishi wa kuajiriliwa 0768114209
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Ee bwana niliachwa na binti mmoja tulikuwa tunapendana sana, tulikutana shule ya sekondari majengo iliyopo Moshi mjini, yani tulipendana sana ila yeye alikuwa kidato cha tatu na mimi kidato cha...
6 Reactions
306 Replies
56K Views
Back
Top Bottom