Huu sasa umalaya bubu kwa wasichana wasomi

Huu sasa umalaya bubu kwa wasichana wasomi

Crucial b

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2015
Posts
276
Reaction score
110
Kuna hii tabia wanayo sana wasichana wasomi akishapata mtoto tu hataki cha ndoa wala familia.

Je, wakipata mihemko inakuwaje hapo?
 
Tulia mkuu zimebaki siku mbili tu uchaguzi
alafu hayo mambo ya mtoto sindo mahaba ya mama na mtoto hata ww hapo ulipo ukiuliza baba na mama anaye kuuma sana utasema mama km jibu lako baba ww utakuwa sio mzima. Ww vumulia hayana mwisho hayo ila yatapungua kidogo
 
Mkuu hao acha wawepo tu maana wanasaidia sana kupunguza stress.
Ww unafikir wakiolewa wote tutamalizia wapi ngunga zetu?
 
wanaweza kuwa wasomi ila hawajaelimika

stay calm vote for lowassa
 
Kuolew au kuoa ni muhim sana la sivyo utakuw na matatzo ya kisaikologia bila kjitambua
 
Kuna hii tabia wanayo sana wasichana wasomi ukishapata mtoto tu hataki cha ndoa wala familia ni yeye na mwanae tu je wakipata mihemko inakuwaje hapo?

The problem is...dick is free, anawezapata muda wowote atakao.
 
Subiria tumalizie siku chache zilizobakia. Hizo habari zako zitakuja baada ya jumatano wiki ijayo. Watu tunashinda mitandaoni, kununua magazeti kwa wingi na kuyasoma, na kufanya discussions kibao zinazohusu nchi yetu na uchaguzi tu!. Hayo mambo ya mapenzi baadae, maana huwezi kufanya mapenzi wakati kuna vita inaendelea. Tulia tuvushe nchi salama ndpo tuanze hayo mambo mengine!!!!!!!!!!
 
Wanaume wamegeuka bidhaa adimu mno kwa sasa ndiyo maaana hata hao wanaozaa nao utakuta ni waume za watu....Na jinsi hali inavyoendelea ya ongezeko la watoto wa kike dhidi ya wanaume sijui itakuwaje?
 
Back
Top Bottom