olais jackson
Member
- Sep 26, 2015
- 60
- 14
Mim n kijana rijjali Kabisa 22 yrs natafuta mchumba hapa hapa dsm uMiri awe 20-26
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini China🇨🇳 ana shahada ya Udaktari
👉🏽Kijana wa maika 17 nchini Japan🇯🇵 ana shahada ya makenika
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini Marekani🇺🇸 ana utajiri kupitia kipaji chake
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini Urusi🇷🇺 ni mwana jeshi mwenye eshima yake
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza🇬🇧 ni mwanasheria
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini Brasil🇧🇷 ni mwanasoka
👉🏽Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma group 7 kwenye whatsApp..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndio maana hata Icon ya nchi yetu whatsapp haitambuliki
😝😝😝😝😝😝