Mdogo wangu kwa mama wa kambo ananitaka kimapenzi

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
Wadau wana Jf,

Nina mdogo wangu wa kike mtoto wa mama wa kambo ni mzuri mno na ananitaka kimapenzi na huwa muda mwingi na baki nae nyumbani na anashinda na kanga moja na kuniletea mitego mingi.

Juzi wazee waliondoka tukabaki wawili nyumbani dahhhh! Usiku alikuja rum kwangu nikiwa nimelala akajiunga tukalala wote kustula usiku nikashangaa kumuona akiwa kavaa chupi na sidiria tu nilichomoka upesi mpaka sebuleni nikiwa najiuliza mara mbili nini kimetokea.

Alikuja huku analia na kusema maji yamemfika shingoni anahitaj penzi langu akanambia ikiwezekana nifanye nae nilikataa. Sasa wazee wamerudi na ameanza kunichafua kwa mama na baba kasema ata stop kufanya ivyo kama nikikubali kumpiga mambo.

Nishaurini wadau nini nifanye.

Asanteni
 
Mna pepo, tafuteni knisa la kiroho mkaombewe wewe na mdogo wako huyo
 
Tafuna tu asee mana ukigoma ataanzisha msala kuwa unamuomba mbunye hapo ndo utatamani ardhi ipasuke kama bado chalii wa kufugwa Ujue fimbo zinakusubiri
 
Mpe haki yake mtoto huyoo we vipii ila kuwa na tahadhari
 
Mjinga kabisa umekataa kuchagua elimu sasa ujinga utawamaliza
 
Kwa kuwa wameamua kumchagua magufuli,basi hakuna namna nawe mle tu.
 
si mmekatataa uchagua elimu elimu elimu, pga pumbu tu hapo
 
wadau wana jf,

nina mdogo wangu wa kike mtoto wa mama wa kambo ni mzuri mno na ananitaka kimapenzi na huwa muda mwingi na baki nae nyumbani na anashinda na kanga moja na kuniletea mitego mingi.

Juzi wazee waliondoka tukabaki wawili nyumbani dahhhh! Usiku alikuja rum kwangu nikiwa nimelala akajiunga tukalala wote kustula usiku nikashangaa kumuona akiwa kavaa chupi na sidiria tu nilichomoka upesi mpaka sebuleni nikiwa najiuliza mara mbili nini kimetokea.

Alikuja huku analia na kusema maji yamemfika shingoni anahitaj penzi langu akanambia ikiwezekana nifanye nae nilikataa. Sasa wazee wamerudi na ameanza kunichafua kwa mama na baba kasema ata stop kufanya ivyo kama nikikubali kumpiga mambo.

Nishaurini wadau nini nifanye.

Asanteni

kamasi lisilokuwa na rangi:-(
 
utoto unawasumbua nyote

Back
Top Bottom