Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Wakuu natumaini hamjambo.
Natangaza leo ya kwamba kwa yeyote aliye na ujauzito asioutarajia au kupenda tafadhali asitoe mimba, asubiri mpaka atakapojifungua kisha kama hamtaki mtoto asimtupe wala kummua bali awasiliane na mimi kisha nikotayari kumlea huyo mtotoNitafuata sheria zote za nchi katika kukabidhiana mtoto. Si lazima mtoto aje awe mali yangu bali mimi nitamlea tu kwa ajili ya kumwokoa na kulinda maisha yake.
Kuwasiliana na mimi kwa kuanza ni kwa njia ya PM kisha mawasiliano mengine yatafuata. Mimi naishi Dar Es Salaam.
Asanteni sana.....