Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume mwenye aibu.ninaposema aibu namaanisha ile aibu flani hivii ya kuogopa wanawake, mwanaume ambaye akiwa mbele ya wanawake hukuti anaongea vitu hajaulizwa,anakaa kimya hadi aulizwe...
0 Reactions
104 Replies
15K Views
Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika. Sasa...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Wadau ni tatizo kubwa naombeni ushauri wenu, Mimi ni kijana wa miaka 33 sijaoa ila nina mtu(mchumba) nafikiria kuoana naye.Takribani kama wiki imepita hivi nilikutana na mdada mmoja maeneo flani...
0 Reactions
104 Replies
11K Views
Habari zenu, Wanajukwaa natumaini mnaendelea na majukumu ya kila siku, nimeona sio vibaya tukipeana ushauri kwa jambo nalopitia kwa sasa ingawa inaweza onekana jambo la kawaida kwa wenzangu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Shikamooni wakubwa marahaba wadogo zangu na habari zenu mambo zenu wa rika langu. Nimekuwa nikijuliza juu ya hili hivi ni kwa nini wanaume walio wengi wanabadilikia wake zao mara tu baada ya...
0 Reactions
116 Replies
10K Views
Niliachana na mke wangu mwaka jana kwa sababu zisizozuilika . Tumezaa mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa ana miaka saba. Baada ya kuachana na mke wangu nilimuomba mama mkwe mwanangu abaki nae...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari za usiku huu, Bila ya kuwa nafungana na upande wowote wa siasa ntawasalimu tena kwa mara ya pili. Na wapendwa. BTT; I miss those days ambazo nilikuwa na fall au namzimikia au namdondokea...
0 Reactions
151 Replies
13K Views
Nimegundua kuwa kumbe kutangazwa kwa matumizi ya kondomu, ni kutoa fursa ya kuendelea kufanya umalaya, maana wanandoa wala hawahitaji kondomu. Matangazo ya matumizi ya kondomu kwenye Tv, ndo...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Wana Jf, Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau amani iwe juu yenu. Nashukuru sana uwezo wa MUUMBA kwa kutujaalia mimi na mwenza wangu kupata watoto mapacha wa kike na kiume. Naomba mdau pendekeza majina manne 2 kike na 2 kiume nichague...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Habarini wana MMU, Siku kadhaa zilizopita JF ilikumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo mods wamesema ni kutokana na mashambulizi sijui kutoka wapi (mimi sio mtaalam sana wa IT) Kama ilivyo kwa...
4 Reactions
342 Replies
21K Views
Kama mwanaume una miguu, baiskeli au bodaboda utabakia kuwaona warembo tu kwa macho mjini. Mjini raha kwa wenye nazoo, mjini raha, UCHAWI MKUBWA YAANI WAREMBO WANAPIGANA VIKUMBO KILA KUKICHA...
6 Reactions
231 Replies
21K Views
Nakiri nimekuwa inspirered kuleta uzi huu kutokana na uzi wa mwanamaumivu mwenzangu Surupwenye Paulina mamii!, umenifanya niwachukie wanawake wote duniani! Coz of u! Nimekusomesha mamii, Songe...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Kama wewe ni mwanamke ambae hujafanya tendo la ndoa siku nying na ungependa ufanye kwa sababu hamu imekuzidia au hukuwah kufanya na unahitaji ufanye kwa uharaka.usihofu dokta yupo atakae...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja namada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Imefikia muda ata kutongoza tena naogopa kwani nahofia ata nikimpata atanikimbia kwani imekua ni kawaida yao kunikimbia sababu kubwa hasa ikiwa ni kuwa naomba game kila siku napisha siku za mwezi...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Matumizi mabaya ya kondom ni pamoja na kuivaa kwa kuigeuza, kuivaa nusu, kuitoboa wakati wa kuvaa na kuitoa kabla ya wakati. Chukuwa tahadhari mwanaMMU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wote wenye wapenzi wao ambayo roho inasita kama indicator inavyo zima na kuwaka! Najaribu kuchunguza na nikiwa najiweka kwenye hili pia naona watu wengi wanataka mahusiano na watu ambao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miezi kadhaa imepita tangu niwe nae ambapo mama alimleta ili anisaidie kwa kuwa nina mtoto mdogo ambae nilimchukua kwa mwamamke ambae alikuaga mpenzi wangu tukaachana. Ninachomshukuru ni kwamba...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Mimi ni kijana wa miaka 24, Kabila ni Mbena, Dini ni mkristo, Natafuta mpenzi sibagui dini,rangi wala kabila..aliyeguswa anicheki katika 0758581857.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom