Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna asiyetamani maisha ya amani na kuaminiana kwenye ndoa,pia ukiwa kwenye mahusiano mtangulize MUNGU. Ni jambo la kupendeza siku ya ibada/sala umekaa na mkeo mkiomba na kusali,kumshukuru...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu humu ndani? Baada ya salamu, usishangae asilimia hizo, nianze na wewe huyo mwenza wako una mfikisha kileleni?Au unapanda na kushuka kama upo Tabora unaendesha baiskeli. Hawa dada...
1 Reactions
91 Replies
17K Views
Semen is best known for what?s not absorbed by the vagina, sperm, which swim through it on their way into the fallopian tubes where fertilization takes place. But, did you know sperm comprises...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpo? Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume. Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28. Hii imekuwa sababu kubwa ya...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Umri miaka isizidi 24 lakini inaweza pungua. Mimi ni 30. Aliye tayari anipm kwa maelezo zaidi -
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiachilia mbali uzuri wa mtu, tabia yake, utanashati na mengine mengi, kila mwanaume ana ladha anayoitafuta kwa mwanamke anayemtaka. Hii inatofautiana kati ya mtu na mtu, siwezi kuongelea nini...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Ni ishara gani muhimu zita kuonyesha kuwa msichana unayetaka kuanzisha nae mahusiano sivyo kama unavyo dhania bali mzenguaji, mambo mengi au basi kwa urahisi kabisa haja tulia. Dalili ya mvua...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna madhara gani kiafya mtu ukifanya magoli matatu kwa mpigo. Namaanisha hamna kabisa mda wa kupumzika kati ya goli moja na jingine, sio kwa kutumia dawa. Kuna mtu anataka kujua.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hi,j JF member. Mimi ni mwanaume natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wa kuoa nitaeishi nae kwa miaka yote.Awe mtiifu,mkweli mwenye mapenzi ya dhati. Karibuni sana ni Pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JF....! Comrades wa MMU mara nyingi nimekuwa mpitaj ktk forum hii lakin leo nimeamua nitoe yale yaliyo moyoni mwangu ili nipate msaada wa majibu yanayonitatiza kimahusiano kwa mm kama kijana...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Halafu utawasikia wakilalamika oo nina mwaga mapema ooo sifiki kileleni kwa mtindo huo wa kula utalalamika sana mwanaume utakuwa huchukui hata DK 10 wanawake pia hawatalifurahia tendo la ndoa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wana jukwaa? Kama mada ilivyohapo juu inajieleza,napenda tupeane uzoefu juu ya hili swala la wivu ni kitu gani.Maana unakuta mtu amemfuma mke wake au mme wake na mwanaume au...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra. Je, ni kosa? Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia? Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
BY DAYAN MASINDE 1. Grab her heart, when she is falling in love with you. Don't pursue her only for her to end up being in love alone. 2. Grab her gently by the neck, when you are kissing her...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
1. The Energy VampireAfter spending time with this person, you feel drained. The conversation usually revolves around their problems and complaints. They will provide an emotional "dump" on you in...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni classmate wangu primary school, jana kaniomba ushauri kuhusiana na mahusiano aliyopo nikashindwa kumpa ushauri nikimuahidi kuwa nitampa leo. Ishu yenyewe ipo hivi, yupo ndani ya mahusiano...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
Mambo vp bandugu? Wanaume wengi sana sasa hivi wana poteza efforts zao, pesa, muda, heshima waliyo jijengea kabla na vitu kadha wa kadha kwa jili yaku msaidia mwanamke. Si semi vibaya, lakini...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae. Awe na elim ya kawaida at least form four na kuendelea. mimi nipo chuo mwaka wa kwanza. nawakaribisha wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Until we take our final breath, you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Naomba msipate tabu na neno Dr kwenye ID yangu, ni jina tu Mwaka 2005 nilipata ajali mbaya ya Gari nikiwa safarini kikazi, nilivunjika sehemu mbali mbali za mwili, nilikaa muhimbili...
4 Reactions
117 Replies
15K Views
Back
Top Bottom