Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Nov 16, 2015 #1 Matumizi mabaya ya kondom ni pamoja na kuivaa kwa kuigeuza, kuivaa nusu, kuitoboa wakati wa kuvaa na kuitoa kabla ya wakati. Chukuwa tahadhari mwanaMMU
Matumizi mabaya ya kondom ni pamoja na kuivaa kwa kuigeuza, kuivaa nusu, kuitoboa wakati wa kuvaa na kuitoa kabla ya wakati. Chukuwa tahadhari mwanaMMU
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,656 Nov 16, 2015 #2 Kuivaa oversized.