Jijune mfwene
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 262
- 179
Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika.
Sasa akijaribu kudai talaka tu fasta sitachelewa nitatoa bila kinyongo na huku najipongeza na moja moto moja baridi kama bado hauja oa yafahamu mapungufu ya mtu unaetaka kumuoa kama huwezi yavumilia.
Usijaribu kumuoa hata bila ushahidi.