Natafuta mpenzi seriously

MR KAN

Member
Sep 27, 2013
52
70
Mimi ni kijana wa miaka 24,
Kabila ni Mbena,
Dini ni mkristo,

Natafuta mpenzi sibagui dini,rangi wala kabila..aliyeguswa anicheki katika 0758581857.
 
pattii

Member
Jan 5, 2013
67
70
mke/mume mwema hutoka kwa Bwana, ww muombe Mungu naye atakupa, achana na habari za hapa jf, labda useme unatafuta hawara
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,521
1,225
Unatakiwa uweke kila kitu wazi maana mahali hapa kuna kila aina ya mapenzi na wapenzi uwatafutao,unaweza kuwa ni mvulana ila ndio si ridhiki na wapo wa kukusaidia,unaweza kuwa mvulana kamili unatafuta msichana pia utapata vivo hivyo kwa msichana ambaye anatafuta msichana mwenzanke wapo humu,weka wazi kijana zaidi ya hapo subiri majanga.
 
Lazarus

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
368
225
mke/mume mwema hutoka kwa Bwana, ww muombe Mungu naye atakupa, achana na habari za hapa jf, labda useme unatafuta hawara

Hiyo ni zamani, siku hizi mke mwema hutoka kwa bwana na mume mwema hutokea CRDB, BOT, Tigopesa, Airtel money, TRA..
 
Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,595
1,195
Ama kweli dunia! watu wanaomboleza, wengine wanatafuta wapenzi. Kila la heri, ndoto yako na itimie
 
MR KAN

Member
Sep 27, 2013
52
70
Unatakiwa uweke kila kitu wazi maana mahali hapa kuna kila aina ya mapenzi na wapenzi uwatafutao,unaweza kuwa ni mvulana ila ndio si ridhiki na wapo wa kukusaidia,unaweza kuwa mvulana kamili unatafuta msichana pia utapata vivo hivyo kwa msichana ambaye anatafuta msichana mwenzanke wapo humu,weka wazi kijana zaidi ya hapo subiri majanga.

ha haa haaa mkuu umenifurahisha mno,but ulichosema ni sahihi...labda nikuweke wazi kuwa nahitaji mwanamke maana ucje dhania mm sio ridhiki
 
Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,944
1,500
...huyo mpenzi wako "SERIOUSLY" kapotelea wapi mkuu tukutafutie...
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,521
1,225
ha haa haaa mkuu umenifurahisha mno,but ulichosema ni sahihi...labda nikuweke wazi kuwa nahitaji mwanamke maana ucje dhania mm sio ridhiki
Basi mkuu hapo utawapata wengi tu cha msingi uwe makini na wanawake matapeli humu.
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,154
2,000
Nilifikiri mke kumbe mpenzi! Tupe experience yako ya wapenzi...
Ulipata kuwa nao wangapi?
-Kwanini uliwaacha/walikuacha wapenzi uliokuwa nao?
-Una tatizo gani kitabia/kisura hadi unaogopa kutafuta mpenzi hadharani na badala yake unaficha utambulisho unatafuta kwenye mitandao?
-Kwa umri wako wa miaka 24 likely utakuwa mtu wa mambo mengi still,kwanini usimalize kwanza sarakasi kisha ukawa serious ndo upate huyo serious?
 
pattii

Member
Jan 5, 2013
67
70
Nenda kwa baba yako umwambie umekuwa yeye atakuonyesha pakumpata, "bora ukosee kujenga nyumba, kuliko kukosea kuoa mke"
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,794
2,000
Mademu wa kibena/kihehe walivyo warahisi umewashindwa?
Wachaga wa kwenye mitandao utawaweza?
 
simple one

Senior Member
Feb 24, 2014
169
195
duh, sio kwa umri huo kutafuta mwanamke seriously!!!!!!!
bado una njia nyingi sana za kupita hadi uifikie hiyo seriously. anyway good luck
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom