Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa. 2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, Kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wasalaam JF, Hapa nilipo kuna rafiki yangu ambaye tulifahamiana kazini baada ya kuwa tunafanya kazi company moja, japo ye alifukuzwa na sasa anafanya kazi pengine. Uzuri tunaishi jirani, sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu.... Nilikuwa nina mpenz ambaye tulipanga kuoana hadi kufikia hatua akanipeleka kwao lkn mwisho wa cku yeye mwenyewe akasema hatutaweza kuoan hivo niendelee na maisha yangu. a Km...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So...
1 Reactions
97 Replies
8K Views
Yamenifika Happpa Naaam mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo nyuma kuna Grosary yule muhudumu, week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Kwamfano sasa Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37. Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44. Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48...
9 Reactions
63 Replies
9K Views
Binti mmoja (jina kapuni) mzuri wa viwango, nilimtongoza kanizungusha balaa. Kidume nikapotezea nikajua nimechezea za Uso. Baada ya wiki kupita, kanitafuta kwa Simu, akaomba tuonane ana kwa ana...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu. Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa. Wote...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3 ambaye babake niliachana naye nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu. Baba mtoto hajawahi kujihusisha na chochote kuhusu mtoto na mimi huwa simuulizi kwa...
0 Reactions
177 Replies
23K Views
Napenda kumtukuza Yesu wangu jamani amenitendea makuu, nimemwomba kitu jamani akanipa double double. Nisaidieni muungane nami siku ya leo kumtukuza. Read Numbers 23:19 to comfirm what am saying...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Niaje wakuu, Kuna binti mmoja nimemfukuzia kitambo sana, hapa mtaani ni kisiki ile mbaya japo ni mcheshi anacheka na kila mtu, ni binti wa kiislamu na ni full ibada. Kila nikimuona huwa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
...just as the title reads, answers plzzzzz
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 niliehitim chuo mwaka jana. Natafuta mwanamke ambae yupo tayari kuoana, awe na umri wa miaka 20-30 sna ubaguzi wa rangi, dini, wala kabila, karibu sana japo...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Ingawa ni ngumu kuamini Leo ni mwaka mmoja kamili tangu ulipoondoka na kuniacha mpweke ni upweke ambao siwezi kuuelezea ingawa sikuwahi kukuona ila ulikuwa karibu yangu kama mtu tuliyejuana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tokea Mdogo wangu wa kike amalize mitihani ya form 4 wiki iliyopita amekuwa akigombana sana na Bi mkubwa mpaka nimepigwa na butwaa kwa maneno wanayotupiana. Baada ya malumbano kuzidi na dingi...
0 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari wana Jf? Ni siku nzuri na ya pekee sana huwa tuna iita jumapili . Kiukweli nimeamini kweli mapenzi yana nguvu sana pale tu unapo tokea kumpenda mtu kwa dhati pasi kujiegemeza kwa uzuri...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Inatokea unapata mtoko na mpenzi mpya na baada ya kubadilishana anuani-za mawasiliano zikiwemo zile za mtandaoni unapata tashwishwi ya kuingia katika ukurasa wake wa facebook. Lahaula, huko...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Bwana Yesu Asifiwe??? Hiyo Ndiyo Hali Halisi, Vijana Wengi Ndio Wanaojitokeza Kuhtj Wake Wa Kuoa Kule Kwny Lv Connect Kuliko Mabinti. Na Wakati Huku Kwny MMU Wengi Wao Wanaonekana Ni Single...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom