Toka nazaliwa hadi nakuwa kijana hadi umri wa uzee wangu nimejifunza mambo mengi sana hasa ya kijamii pengine kuliko mtu mwingine yoyote na ndiyo maana Niko hapa kuwaulizeni team lightskin mko...
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.
- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi
- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na...
Nimetokea kuchukiwa na wadada kwa kupiga push up mara 3 kwa siku na kila siku kwa wiki nzima.wengi wameichukia staili yangu.
Naombeni msaada wenu kwa siku nipige push up ngap na kwa siku angalau...
Kwa wakazi wa mkoa wa Daresalama, Ni sehemu gani tulivu naweza kumpeleka huyu mtoto mzuri ambaye nina ndoto za kuja kumuoa awe mama watoto wangu nyumbani. Kesho tumepanga kuonana nae RASMI kwa...
Ndivyo Kasi Inavyozidi Kwa Wadada Wengi Sasa Mijini Wamekua Wakisaka Pesa Kwa Nguvu Ili Kuweza Kujinafasi Wkt Wa Ckuku Za X-mas Na Mwaka Mpya.
Ivi Sasa Jamaa Ameamua Kujirudi Kwa Mkewe Ili...
Nahitaji mchumba aliyeserious na maisha na aliyekua na kuacha utoto,anasa na kufocus na maisha
Hata kama ni jobles ntafungua biashara asimamie.
Age 22-26
Asiwe mnywaji wa kilev chochote pls
Mimi...
WANAUME TUNATIA AIBU.
Unaenda kutongoza mwanamke ambae hana kazi lakini ana Galaxy s6 na iphone6 plus. Wigi la laki 3. High hills 150,000/ kucha anatengezeza kwa 50,000/. Gauni 200,000/ amepanga...
Nipo na jamaa yangu kwa sasa hapa Moshi huwa naongea naye mengi sana, na hata nikiwa napitia habari kupitia jf hasa jioni, jambo moja ambalo limemvutia nimsaidie ni hili;
Anahitaji wife friend...
Hapo awali nilikuwa na mwanamke akanitenda vibaya, miaka ikapita nikapata mwanamke mwingine.
Tatizo nililokuwa nalo sasa ni inafika wakati, ninamchukia sana huyu mwanamke wangu, alafu inafika...
Ana sifa zote za kuwa mke bora mrembo, mpole, ana akili ya maisha ambayo wanawake wengi wasasa hawana, tatizo lake moja hapendi kabisa kufanya mapenzi kwa kisingizio kuwa kiafya mtu inabidi...
Habari zenu waungwana,
Leo nimeona tushee utafiti nilioufanya kwa viumbe vinavyopotea kwa kasi sana maana naona serikali imekazia kwa tembo, twiga, na faru huku wakisahau ya kuwa kuna hawa...
Hi, members of jamiiforums in our society it have seen that many boys are more prefferer to have black girls because they are more attractive than white girls and that is rearity even in our...
Hii imetokea huko hong kong china
fatilia zaidi kwenye hii link hapa chini
kwa video matata ya huyu binti
Hapa akipakwa hiyo rangi kama suruari ya jinzi
ili aingie zake mtaani ...
Nitangulize shukrani ya uzima kwa muumba wa mbingu ....
Nitoe shukrani pia kwa wana Jf kwa ushauri na uzoefu nilioupata humu ...hakika humu ni shule tosha..
Mada yangu ni hii tabia hasa kwa...
Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"
Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.