Kutokuwepo hewani JF, ulimmiss mwana MMU yupi? Na kitu gani kutoka kwakwe?

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
18,511
41,750
Habarini wana MMU,
Siku kadhaa zilizopita JF ilikumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo mods wamesema ni kutokana na mashambulizi sijui kutoka wapi (mimi sio mtaalam sana wa IT)

Kama ilivyo kwa baadhi yetu wale loyal member wa JF hususani jukwaa la mapenzi , mahusiano na urafiki.

Baadhi yetu tulipani, na kuwa wapweke mno kutokana na kutokuwepo hewani, wengine walifikia hatua ya kulalamika saaana paka facebook kule.

Hii yote ni kutokana na mazoea tuliyojijengea kwa baadhi yetu imetufanya kuwa 'addicted' na jukwaa yani kila mara unapokuwa huna majukum unatamani uangalie new post, new notification, kwamimi binafsi MMU ndio sehemu yangu ya kwanza.

Kwa siku chache nliwamisi wana MMU
atoto na sera zake za ubepari... na ule motto wake wa kila siku pesa ya mwanaume ni tamu
Emoj huyu nlimisi kuona zile thread zake za makavu live kuwasema sema wanaume wavivu, wanawake 'panya' ving'ang'anizi wa ndoa...

Kaka yangu Kaboom mzee wa fulsa mtaalam wa wale wadada wanaolia lia, kwake wanatulia
Heaven Sent huyu dada mtumishi anatoa ushauri wa busara..ila anapata mitihani na kutamanishwa na atoto kuhusu pesa za wanaume.
ibra87 mzee wa kuchangamkia fulsa pia...heshima yako,
mito siku mbili zilikuwa ndefu saana sjaona nmekosa ule ushauri wako wa busara kwa wanaume tunaopenda uchumba wa miaka mingi bila kuonesha dalili zozote za kuoa..na ule ushauli wako wa wanaume tujiamini...
Evelyn Salt nlimisi koment zako zileee...!!! Mchangamkia fulsa huyu pia..kwa zile pesa za me.
The Boss heshima kwako, comment zenye busara..
Kasinde mama/dada yangu, ajuza nlimisi post zako za kutukumbusha mambo ya kale...
cute b nlikumis mpenzi wangu, ila nadhani ilikuwa faida maana kila siku tulikuwa bize jf, ilipokosekana tukaanza chatting na wewe, tukapa muda wa kujadili kuhusu penzi letu, nataman jf ipotee tena, ili tuwe karibu tuache ubize humu..maana penzi lilinawiri ndani ya siku mbili..thankyuu

Wengine wengi aisee... RRONDO kaka Watu8 elly79... MO11 rubii missing your comments, missyrose

Mwana MMU ulimisi nan? Ulimis kipi kutoka kwakwe.....

Karibuni
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilimmiss sana cute b , coz ana mautamu sana huyu kichuna.

Pia nilimmiss King'asti , huyu yeye huwa nikionaga tu ile avatar yake napata mtetemo fulani hivi down-wards afu gafla nakuwa nafeel kumpenda penda hivi. Afu cha ajabu sasa, I always miss the gut to tell her.
 
Teh teh..Bro mi nimeokoka siku hizi..Natoa msaada wa kiroho zaidi..Fursa nimemuachia Ibra
 
Mkuu sumbai mi nakukumbuka sana hasa kwenye ule uzi uliodhirisha kuwa huna noma na kushea, hahaaa nakumbuka hadi tulianza kukuita mzee wa hisa

Nilimisi sana vituko vya dada zangu team no free P, no gheto atoto na cute b

Nami nilimisi maushauri ya mama mchungaji Heaven Sent na NANDERA

Makavu live ya Emoj nayafananisha na ya nyakoo, ila uzuri makavu live yao ni ya kumjenga mwanaume, so big up sana kwao

Ujumbe kwa sumbai: ongeza matunzo kwa cute b, kujituma 6x6 pekee hakutoshi. Ukilega lega kwenye matunzo soon atahamia kwangu, manake yuko radhi hata awe mke wa pili, hahaaaaa sipati picha utakavyolia!!

Nami pia nilimiss comments za wazee wa fursa Kaboom na ibra87, Ujumbe: kitufe cha LIKE kirudi haraka
 
Mkuu kitufe cha like kimesharudi, shetani kashindwa kuihujumu jf.

Mkuu mimi sina tatizoo kabisaaa na kushea... hahaa atoto usisome hapa ...... yani kiroho safi kabisa tushee ila kwa huyu le cutie..b tusishee....

Asantee kwa ushauri wako, nitazidisha matuzo kwa mtoto mzuri cute b asije kurubunika.....

Mzee wa hisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom