Weekend majanga kama hizi puuuuuuuuuuuu!!!!!

Weekend majanga kama hizi puuuuuuuuuuuu!!!!!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,516
Reaction score
40,048
Weekend hii kwangu ilikuewa mbaya sanaaaaa!!!! bibie aliishia kuniangalia kwa mbaliiiiiiiii....
Jumamosi nikajikoki kupata maraha ya msimu kama kawa, daah kibao kikabadilika pale ambapo chama langu kipenzi wa kwanza kabisa katika safu yangu ya mapenzi (I love you so much) Arsenal liliposambaratishwa vibaya pale unfield ndani ya dakika 20 tu za mwanzo!!!

Jumapili nikasema walau nitapooza machungu kumbe ndo kabisaa pale ambapo chama langu la bongo mnyama alipogaragazwa na wanamgambo!! Kule siasani nako nikaishia kupigwa vijembe na akina Ritz,lizaboni,Simiyu,Juliana Shonza aliyekuwa kipenzi changu na Revocatus(huyu nimemmind!!) eti Chopa tatu Kata tatu yaan chama langu Chadema nalo chali!!!

England nako vijigazeti vingiii vya udaku vikaamua kumuumbua babu yangu kipenzi mzee Wenger kwakuweka kwenye front pages picha yake alipoanguka na makabrasha yake(pole sana babu najua nazo ni stress tu)

Yani kwa stress hizi bibie ilikuwa ni lazima anivumilie tu am very sorry!!! :embarassed2:

Hii weekend inanikumbusha weekend moja pale UDSM nikiwa first year nilipokesha usiku mzima nikifanya Engineering drawings then jumatatu asubuhi siku ya ku-submit msociology mmoja akageuza rough papers na kuandikia ungwine daah!!!
 
Na weekend ijayo ndo hivo valentine anaweza kuja au akakuacha kwenye mataa....
pole bro
 
Hahaha! Nimeishia kucheka tu! Pole kwa bibie! Ikifika zamu yako usilie!!
 
Unaiaibisha fani ya Uhandisi...
 
Unaiaibisha fani ya Uhandisi...

Sorry mkuu ni mastress yamezidi me nipo serious sana...Arsenal ikifungwa me hadi usingizi unapaa!!
 
Na weekend ijayo ndo hivo valentine anaweza kuja au akakuacha kwenye mataa....
pole bro

Itakuwa nzuri..stress zote namalizia Emirates j5 na j'mosi baada ya hapo Valentine safi!
 
Engineering drawings then jumatatu asubuhi siku ya ku-submit msociology mmoja akageuza rough papers na kuandikia ungwine daah!!!

Mpaka umekumbuka hilo kweli weekend ilikuwa mbaya. Pole lakini mzee wenger kasema bado mpo kwenye mbio.
 
Mpaka umekumbuka hilo kweli weekend ilikuwa mbaya. Pole lakini mzee wenger kasema bado mpo kwenye mbio.

Acha kabisa!..Ila j5 najua nitapata relief.Pale siku hizi kila mtu anajichapia huku kibabu kikishuhudia jukwaani hivyo najua na mimi nitajichukulia tu points 3!
 
Sorry mkuu ni mastress yamezidi me nipo serious sana...Arsenal ikifungwa me hadi usingizi unapaa!!

Nakushauri ulale sana leo..Kuna dalili usingizi utapaa tena keshokutwa baada ya mechi na Man U.
 
Nakushauri ulale sana leo..Kuna dalili usingizi utapaa tena keshokutwa baada ya mechi na Man U.

Ah! pale mbona palaini.? nikifungwa tena pale basi mimi mchovu...Jana ulilala salama.?
 
mwekee picha

dizzy-smiley-emoticon-1.gif
 
Hahaha j5 stress ingne subr!pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom