donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Kwema? habari wakuu, prior to the thread title above, miaka ya zamani kidogo nilibahatika kuangalia muvi ya Demi Moore inayoitwa Indecent proposal.
Jana tena, vile nikaidownload kwa pc nakuingalia tena.
Hebu imagine kaka yangu, you have a beautiful wife na mnaishi maisha poa tu but suddenly upepo unachange maisha yanaenda mrama financially. unajikuta kwenye large debts and you can hardly afford the three meals per day.
Anatokea Don mmoja, anawaalika wewe na mke wako (remember she is a lawfully wedded wife not a g/f) kwenye dinner night na infront of ur wife, the man says he's ready to offer you couple a lump sum of Tshs.400M kutembea na mke wako for a singe night. je, bro ungeamuaje? ukichek kweli kwenye maswala yamipunga ndo vile mbwa kala mbwa na ukichek hata kama ungekua mambo yako ni safi it couldtake time for you to generate 400M.
so, the big question is what would you decide? remember, we talking bout wife, no girlfriend. daah, kwangu mimi wakuu ingekua ni dilemma maana japo mpunga nauhitaji, lakini to live with the fact that mke wangu alibanduliwa na mngese ilimradi tu tutengeneze mpunga ingenitesa sana. so my question to you brother, what would you do? honestly speaking!