Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha.
Turudi kwenye topic nimekuwa ni mtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini.
Tuna maelewano mazuri sana na mke wangu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita na siku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu.
Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha.