Amlawiti babu yake

Amlawiti babu yake

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,506
Kijana mmoja huko Tanga alimvizia babu yake akiwa amelala na kumlawiti babu kushtuka akakuta mjuu wake anampumulia kisogoni lahaula na kuanza kupiga mayowe.

Taarifa za kitabibu zinasema babu kaumizwa sana sehemu za kutolea taka ngumu na kapata maumivu makali yaliyo ambatana na mshtuko pamoja na mfadhaiko kijana huyo sasa hivi anashikiliwa kituo kimoja cha polisi huko jijini Tanga.

==================================================
Fidel80 taarifa hujaukamilisha. Ni kwamba kijana alijifanya kumwonyesha upendo mkubwa babu yake akamkatia mshiko mapema akijua fika kuwa baada ya hapo kituo chake cha kwanza ni kilabuni. Kumbe ana lake jambo. Usiku akiwa amelala huku amelewa chakari na bibi kalala pembeni, mjukuu akaingia chumbani na kuanza kumlawiti babu yake. Bibi hakuwa na la kifanya bali kupiga kelele tu. Kijana aliingia akiwa na silaha kwani alipomaliza kumlawiti babu yake alimkata sehemu za siri na sikio. Na hivi sasa babu kaishakufa hayupo tena.
 
Dah tanga why? Yaani nasikia kila baada ya nyumba moja tanga either kuna shoga,or teja. Mambo mengine ni laana.
 
Danh yaani bado hajauwawa na wenye hasira???!!!
Why is he still alive???!!!!
 
Ni kweli au? Maana matukio mengine ni ngumu kweli kuamini, ungeweka na source kidogo!
 
Jana Ali alimuua mwenzake akidhani ni nguruwe leo tena babu kabakwa tanga mbona balaa....
 
Kijana mmoja huko Tanga alimvizia babu yake akiwa amelala na kumlawiti babu kushtuka akakuja mjuu wake anampumulia kisogoni lahaula na kuanza kupiga mayowe, taarifa za kitabibu zinasema babu kaumizwa sana sehemu za kutolea taka ngumu na kapata maumivu makali yaliyo ambatana na mshtuko pamoja na mfadhaiko kijana huyo sasa hivi anashikiliwa kituo kimoja cha polisi huko jijini Tanga.

Kama Babu aliumia, Nampa pole.
Lakini pia ni vizuri aulizwe kama haku-enjoy, maana hawa wagosi, hawaeleweki!
 
Back
Top Bottom