TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
Binafsi siyaelewi kabisa mara nijihisi kama nipo peponi mara nijihisi kama nipo kuzimu. Kweli mapenz mchezo mchafu.
Hili lilishaulizwa, labda kama kuna watu wanafanya MMU SAPUUUU EXAMINATN.
Love is the world's biggest illussion and myth..
Hili lilishaulizwa, labda kama kuna watu wanafanya MMU SAPUUUU EXAMINATN.
Binafis cyaelewi kabsa mara nijihic kama nipo pepon mara nijihic kama nipo kuzimu. Kweli mapenz mchezo mchafu.
kasome 1Wakorintho 13
Hiyo ni raundi ya ngapi?
Kuna muda utataka ujirudishe kwa muumba kabla hajakuita....
^^
Hi Madam !!
Miss you, mpe salaam Mgirik
^^
Hello Sir, l am fine thank you.
Vipi wewe hali yako?
Nitamfikishia salamu zake.... sijui yuko mtaa gani... pengine Siasa Street...