Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wataalam wa mahusiano wanashauri ili mahusiano yadumu vizuri na kwa muda mrefu inabidi mume amuonye mkewe kila siku, amkalipie kila wiki, ampige kofi angalau mara moja kila mwezi, ampige kibano...
4 Reactions
124 Replies
14K Views
Naomba niulize nyie wapenzi mmalizapo mapenzi je ni nani huwa najukumu lakujua mwenzangu kamalizaje je kashiba? Kanawa maana naona mmoja ndo hubaki kuangaika mara chupa ya chai yenye maji ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarin za jioni wana MMU. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,nina kazi ambayo inaniingizia kipato changu kinachonikimu ktk maisha nipo kwenye mahusiano na binti mmoja kwa takribani mwaka...
0 Reactions
94 Replies
13K Views
(By Leandie Buys) Social media is causing an infidelity epidemic, and it?s ruining relationships. Lately I?ve seen more and more couples who have experienced infidelity in their relationships...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nafanya Kazi katika company moja ya kifedha, nahitaji mchumba wa kuowa v igezo awe mweusi, Mnene wa Kati na siyo mrefu sana dini na elimu haijalishi ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunafanya nae kazi, na ninamzimia kinyama sema huwa naona I'm out of her league. Wikendi iliyopita nilimpigia simu kuanza kujenga ukaribu, hakupokea! But kesho salio linaingia so nimemtumia ujumbe...
0 Reactions
128 Replies
15K Views
I need to chat with girls and not boys MY 4N NO.0764486960
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kushare kama nilivyoipata xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx Wake au Waume wa kiroho ni pepo wanaotumika na shetani kuvunja na kuvuruga uwapo wa familia za kimungu au kutoruhusu kuwapo kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni kipindi kirefu tangu huyu binti nikutane nae toka shule ya msingi mpaka leo tupo vyuo tofauti jijini dar es salaam Ila nashindwa kumwambia ukweli.... Nifanyeje ili niweze kumwambia ama atambue...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
hivi sperms zinapoingia kwenye vargina huwa zina viashilia vya radha gani,joto,baridi au?maana hata nikiuliza kwa madem huwa siwaelewi majibu yao:
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wana jf mimi ni kijana ninayevutiwa sana na wasichana wenye rangi nyeupe lakini cha kushangaza ninawavutia sana wasichana weusi kiasi ambacho kinanifanya niwe karibu nao kuliko wale weupe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hivi tunaochepuka tunakuwaga na sababu maalumu au
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari za mchana mabibi na mabwana... Naomba uzoefu wenu kuhusu ufungaji wa vyumba vya kulala hasa kwa wale tunaoishi na madada / makaka wa kazi "Masterbedroom" je tunafunga kwa ajili ya usalama...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ladies and gentlemen i great you all Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
  • Closed
BY DAYAN MASINDE Almost everyone who gets married, marries out of love. But why do so many married people end up cheating? It is because they don?t set boundaries. There are nine types of people...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni pale unapodhani Msichana uliyenaye umemnasa na SuperGlue,Hapindui kwako kabisa,unajidai umemuweka kwenye chupa na kwako ni mtakuja Primary School..Unamiss umbua unavyotaka, stress ni part ya...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Naingia jukwaa hili nikiwasilisha hitaji langu la muhimu, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waanzirishi wa jukwaa hili,wametupafanya tupate pa kusemea. Naamini mke au mume anaweza...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari WanaJF, Wababa wa siku hizi mna matatizo gani?yaani mtu unafikia hatua ya kuwa na mahusiano ya kimapenz na bint yako Hapa mtaan tukio hilo lmetokea mzee ambaye pia ni baloz wa nyumba kumi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kiukweli nimetokea kumchukia mume wangu, imetokea hata sifa zakua na mimi tena sizioni. Mimi ni mwaminifu mwenzagu malaya, yeye ni kufukuzana tuu na Malaya kila kukicha, leo huyu kesho huyu, ana...
1 Reactions
141 Replies
22K Views
Back
Top Bottom